Zimbabwe yapiga marufuku usafirishaji nje Madini ya Lithium

Zimbabwe yapiga marufuku usafirishaji nje Madini ya Lithium

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
lithium-battery.jpg

Wizara ya Madini na Maendeleo imesema mauzo yote ya Madini ya Lithiam nje ya Nchi yamesitishwa baada ya Uchunguzi kuonesha kuna upotevu wa Tsh. Trilioni 4.2 kila mwaka kutokana na kuuzwa kama Madini Ghafi badala ya kutengeneza Betri halisi.

Lithium inayofahamika kama Dhahabu Nyeupe hutumika kuunda Betri za Simu, Magari, Kompyuta Mpakato, Sola na vifaa vingine vya Kielektroniki, imepanda bei kwa 1,100% katika kipindi cha miaka miwili huku nchi hiyo ikitajwa kuwa na akiba inaweza kutosheleza mahitaji ya dunia kwa 15%.

===============

Zimbabwe has banned all lithium exports after the government said it was losing 1.7 billion euros from exporting it as a raw mineral and not processing it into batteries in-country.

Lithium is so valuable as a component of electronic batteries - mostly for cars mobile phones and computers - that it’s known as “white gold.” The price has gone up by 1,100 percent in the past two years alone.

Zimbabwe has the largest amount of the mineral in Africa and has enough of it to supply a fifth of the world’s needs, the government says.

Whilst it’s on track to become one of the world’s largest lithium exporters, the government says it should start its own battery industry rather than allow foreign companies to dominate battery production.

If it succeeds it will mark a sea change for Zimbabwe's economy.

Like many other mineral-rich African states, it has allowed its raw minerals to be extracted by multinationals for decades without developing local industries that could process them, and create many jobs.

The Zimbabwean Ministry of Mines and Mining Development said it would also clamp down on the artisanal miners digging up lithium and smuggling the mineral across borders.

AFRICA NEWS
 
Mara nyingi wanapiga marufuku harafu vinatoka kwa mlango wa nyuma kwa kiwango kikubwa kabisa...unakuta mtu anakamatwa na Truck lina madini ya Lithium huko messina au dhahabu Oliver Tambo Airport wanatoa wenyewe hao huwezi kutoa kitu Zimbabwe bila mikono ya watu wa Serikali kila sehemu pana Shushushu...
 
Mara nyingi wanapiga marufuku harafu vinatoka kwa mlango wa nyuma kwa kiwango kikubwa kabisa...unakuta mtu anakamatwa na Truck lina madini ya Lithium huko messina au dhahabu Oliver Tambo Airport wanatoa wenyewe hao huwezi kutoa kitu Zimbabwe bila mikono ya watu wa Serikali kila sehemu pana Shushushu...

Tena uko sahihi moja ya nchi mashushu wamejaa kila eneo ni zimbabwe na kama hauna support yao pale huwezi kuchomoka
 
Tena uko sahihi moja ya nchi mashushu wamejaa kila eneo ni zimbabwe na kama hauna support yao pale huwezi kuchomoka
Zimbabwe bado wana ushushu ule wa kizamani wanapakia askari kanzu karibu kila bus linalosafiri nje ya Zimbabwe ukiongea kitu chochote kuhusu siasa zao au mambo ya kodi unashangaa mtu anashushwa kwenye Road block mbele jamaa ni masikini ila wanafatilia vitu vya hovyo hovyo tuu ila Mugabe Babu ndio alikua na mashushu wa kutosha..
 
Wasipouza nje watayala?
Afrika sisi si wamiliki wa madini bali ni walinzi tu wa madini haya, hatuna Kazi nayo
 
Wana lithium halafu wanalia umaskini hatari sana hii
Zimbabwe kama sisi tuu hatuchekani...wana kila aina ya madini pale Wachina ndio walipewa kipaumbele enzi za Babu baada ya kuwatimua wazungu ndio maana atolewi vikwazo hao mabepari hawana kitu wanachukua pale . huko Hwange ni wachina tuu na dhahabu mara Lithium
 
Back
Top Bottom