Zimbabwean President is giving away the Country to the same settlers who Colonised it

Mr What

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
1,215
Reaction score
2,178
27d540f5b5262b933a8810f4a4391d17

Zimbabwean President is giving away#Zimbabweto the same colonial settlers who stole it.

Compensating Criminals who violently stole Zimbabwe natural resources, Minerals and Land from Indigenous people is self Genocide

President Robert Mugabe must be weeping in his grave.
Robert Mugabe must be rolling uncomfortably in his grave.

Today Zimbabwe compensated its colonisers.
Who should compensate who?
Some 3.5 billion US dollars rolled out to give white farmers.
This is a loan that will take Zimbabwe some 50years to repay.
Shouldn't this money go to build schools, improve infrastructure and create jobs?
All the liberation struggles now gone to waste.
All the Freedom Fighters dismayed by this decision to compromise sovereignty of Zimbabwe.
The greatest tragedy of Africa is that we are being led by stooges who push for colonial masters interests at the expense of the masses.
Comments below-
@Emmanuel Hassan
$3.5 Billion and how much are we getting for slavery even though the lands were stolen. They intend to also influence the outcome in SA. That document is inconsequential, a man who is down fears no fall. Embrace all their sanctions and trade with your brothers.
@Nana Asamoah Billy
I dont know what to say but This is Simple.The Zimbabweans Can Protest for their right against the government as Citizens.
The Opposition should unite as one against Abuse of their Human Right.
They Should Petition all African Citizens on all fronts to sign for support and funding to resist and overturn all goverments insensitive policies. All ask for Government to surrender power
@Matheus César
This so shameful in many levels how African leaders are so weak and looser. If this happened with Europeans they will never pay to Africans anything. These ”leaders” should be removed from their offices..
@Daniel Mhlanga
The problem of African politics we are always funded by the western during compain and to promise them something important when we get into power that funding is the most part to show that we're still
@Kiangaji Tha General
That's the results when masses blindly support the so called "new and promising " leaders supported by the West
Are Africans getting compensation for colonisation? Slavery?

From Opera News Hub

The views expressed in this article are the writer's, they do not reflect the views of Opera News. Please report any fake news or defamatory statements to feedback-newshub-za@operanewshub.com
 
I Stand with the Zimbabwe president.
Those farms which were taken by force from white Farmers were mainly given to politicians including.Mugabe and his family members and his friends .
They were not given to the poor Zimbabweans

But president should go further after compansation those farms must also be returned to the original white owners

Compansation is just a peanut for the loss of profit they suffered. They should be given back their land which they got lawfully

In Tanzania we took properties like schools etc but they benefited majority which is not the case of Zimbabwe!!!
President take all farms in hands of politicians and their families give back to owners . Compansation alone is not enough those Mugabe crooks who decided to share the land like sharing Catholic sacrament which they grabbed from whites should. Be grabbed from them and be handed to the original whites the original owners
 
LB7 mnajititimua kidhungu
 
Mkuu unaishi ulimwengu huu huu tunaoishi waafrika wenzako.
 
Mugabe ni Mwafrika mwenzetu lakini swala la kupora ardhi ya wazungu na kujigawia yeye na familia yake na ndugu ,marafiki sikubaliani nalo hata kidogo.Angepora na kuwagawia walio wengi maskini ningekubali

Zimbabwe nilienda na nilikaa miezi sita.Mashamba waliyogawiana ukiyaona yanatia hadi huruma .walichukua wakayatelekeza .Hawayalimi hawayafanyii chochote yamebaki tu na hati miliki mikononi mwao .Ni mapori matupu wakati wazungu walikuwa wakiyalima kilimo cha kisasa

Ukifika kule utalia .wengi ardhi hawana wakati wanasiasa wameshikilia mapori wakati walipokuwepo wazungu hayakuwa mapori yalikuwa mashamba

HUO UJINGA aliofanya Mugabe unatakiwa upingwe na kila mwafrika mpenda ukweli.Usisikilize propaganda za ohh alichukua mashamba akawapa wazimbabwe!!!!

Muulize mzimbabwe yeyote akueleze hali ya yale mashamba waliyopora akina Mugabe hali yake.Kunatisha ni mipori iliyojaa vichaka,mijoka na ngedere
 
Ukifika kule utalia .wengi ardhi hawana wakati wanasiasa wameshikilia mapori wakati walipokuwepo wazungu hatyakuwa mapori yalikuwa mashamba

Haya si ndiyo yanayofanywa na viongozi wa CCM. Mzee Sumaye alijimilikisha ekari ngapi za ardhi kule Morogoro alipokuwa Waziri Mkuu?
 
Ndio Maana Raisi Magufuli kazichukua zote kukataa huo ujinga.Tanzania nzima kwa sasa ukiwa na shamba ukawa hulimi ni pori saa yeyote serikali inatua kwako wanalichukua uwe kiongozi au mtu wa kawaida.Huo ujinga wa akina Sumaye kama ninavyopinga wa Mugabe na wa akina Sumaye naupinga
 
Mugabe ni Mwafrika mwenzetu lakini swala la kupora ardhi ya wazungu na kujigawia yeye na familia yake na ndugu ,marafiki sikubaliani nalo hata kidogo.Angepora na kuwagawia walio wengi maskini ningekubali

Zimbabwe nilienda na nilikaa miezi sita.Mashamba waliyogawiana ukiyaona yanatia hadi huruma .walichukua wakayatelekeza .Hawayalimi hawayafanyii chochote yamebaki tu na hati miliki mikononi mwao .Ni mapori matupu wakati wazungu walikuwa wakiyalima kilimo cha kisasa

Ukifika kule utalia .wengi ardhi hawana wakati wanasiasa wameshikilia mapori wakati walipokuwepo wazungu hatyakuwa mapori yalikuwa mashamba

HUO UJINGA aliofanya Mugabe unatakiwa upingwe na kila mwafrika mpenda ukweli.Usisikilize propaganda za ohh alichukua mashamba akawapa wazimbabwe!!!!

Muulize mzimbabwe yeyote akueleze hali ya yale mashamba waliyopora akina Mugabe hali yake.Kunatisha ni mipori iliyojaa vichaka,mijoka na ngedere
Mkuu nimekuelewa ila Ungesisitizia mgawanyo mzuri kwa wananchi,badala yakutetea kuwa mkoloni arudishiwe ardhi aliyopora.Binafsi sina tatizo na kuwafidia miundombinu ili Zimbabwe iruhusiwe kufanya Biashara.pia kumbuka ardhi haikuwa ya wazungu wala hawakuipata kihalali
 
Mkuu nimekuelewa ila Ungesisitizia mgawanyo mzuri kwa wananchi,badala yakutetea kuwa mkoloni arudishiwe ardhi aliyopora.Binafsi sina tatizo na kuwafidia miundombinu ili Zimbabwe iruhusiwe kufanya Biashara.
Hao tu waliochukua hiyo ardhi wameshindwa kulima.Kilimo cha kisasa cha estates waafrika hatukiwezi

Mfano mdogo tu kukuta nchi inaagiza nyama nchi za nje kwa ajili ya hoteli wala usishangae
Sababu ya ubora na upatikanaji.Watu wetu huuza mbuzi au Ngombe akijisikia .WAkati mahoteli yanataka continuos sustainable supply!!! Nenda Afrika zima kilimo cha estates wanaoweza ni wazungu tu ,Unakuta kalima ekari hala elfu 10 zote zinalimwa kisasa

Tanzania tu tuna ardhi kibao lakini mswahili yupi ana estates anazilima?
warudishiwe tu wenyewe wazungu .Wakipewa waswahili hawatalima kilimo kikubwa bado yatabaki maporipori tu
 
Binafsi sina tatizo na kuwafidia miundombinu ili Zimbabwe iruhusiwe kufanya Biashara.pia kumbuka ardhi haikuwa ya wazungu wala hawakuipata kihalali
Zimbabwe ni kama ilivyo afrika kusini na namibia ina wakazi wazungu na waafrika.WALLE WAZUNGU ni wakazi halali wa zimbabwe na ardhi waliipata kihalali ndio maana wanafidiwa

Pili biashara kubwa ya nje ambayo zimbabwe ilikuwa ikifanya ni kuuza bidhaa za kilimo na mifugo ulaya na marekani kutoka kwenye mashamba makubwa ya kilimo na ufugalji wa kisasa wa hao wazungu.WAAFRIKA WALIOSHIKA hiyo ardhi wameshindwa kuyaendeleza na kulima na kufuga kisasa kwa large scale.Wazungu wasiporudishiwa ardhi biashara bado itakuwa imedoda tu
 
Kinachotakiwa kwa Sasa huyo Raisi awakamate wanasiasa wote waliojigawia mashamba ya wazungu na kuyatelekeza wafungunguliwe kesi ya uhujumu uchumi Sababu walichukua mashamba yakiwa yanameremeta kwa mazao na mifugo wao wakayageuza misitu walipoyachukua.Huo Ni uhujumu uchumi wa wazi kabisa kuwa Lengo lap lilikuwa kuhujumu uchumi wa nchi na kuua kilimo
 
Mugabe ni Mwafrika mwenzetu lakini swala la kupora ardhi ya wazungu na kujigawia yeye na familia yake na ndugu ,marafiki sikubaliani nalo hata kidogo.Angepora na kuwagawia walio wengi maskini ningekubali

Zimbabwe nilienda na nilikaa miezi sita.Mashamba waliyogawiana ukiyaona yanatia hadi huruma .walichukua wakayatelekeza .Hawayalimi hawayafanyii chochote yamebaki tu na hati miliki mikononi mwao .Ni mapori matupu wakati wazungu walikuwa wakiyalima kilimo cha kisasa

Ukifika kule utalia .wengi ardhi hawana wakati wanasiasa wameshikilia mapori wakati walipokuwepo wazungu hayakuwa mapori yalikuwa mashamba

HUO UJINGA aliofanya Mugabe unatakiwa upingwe na kila mwafrika mpenda ukweli.Usisikilize propaganda za ohh alichukua mashamba akawapa wazimbabwe!!!!

Muulize mzimbabwe yeyote akueleze hali ya yale mashamba waliyopora akina Mugabe hali yake.Kunatisha ni mipori iliyojaa vichaka,mijoka na ngedere
"Mugabe ni Mwafrika mwenzetu lakini swala la kupora ardhi ya Wazungu..." Hiyo ardhi ya Wazungu iko wapi? Na huyo Mugabe alifikafikaje kwenye ardhi ya watu? Aidha, alikuwa na nguvu kiasi gani zilizomwezesha kupora hiyo ardhi? Ukilinganisha na Tanzania, unaunga mkono madai kwamba Magufuli amepora mchanga wa Wazungu wa Acacia wa makenikia? Tuwe wazalendo tusipumbazwe na hoja za mabeberu kwa kuwa tu wana mdomo mkubwa unaosikika ulimwenguni.
 
Zimbabwe kuwadhulumu hao wazungu ndio wakapata laana hadi leo, wafanyeje uchumi unaporomoka tu kila uchao ndio malipo ya dhuluma.
 
Daah hivi ni kweli Wazimbabwe wanashindwa kujiendesha au kuna msukumo kutoka nchi za magharibi behind the scene.
Matatizo ya Africa inabidi tutatatue sisi wenyewe kwa kubadili mindset zetu,
Wakati Mugabe qnachukua mashamba hayo , ilijulikana wazi kuwa Kuna dhulma inafanyika , lakini kwa kuwa kabila la Mugabe likikuwa linajua litafaidika hawakupiga kelele kupinga swala hilo, kilichotokea kilitabiriwa Mugabe akagawa mashamba kwa watu wake na jamaa zake amabo hawakuwa hata na utaalamu wa kuendesha miradi ya mashamba hayo na matokeo yake mashamba yakafa na njaa ikafauatia Miaka kafhaa mbele yake.

Zimbambe Ina ardhi kubwa sana yenye rutuba , nilitegemea labda ange wapa nguvu weusinkwa kuanzisha mashamba yaonside by side na mzungu
 
Ni kwamba uchumi umekwama, walijimilikisha wakifikiri ni rahisi mno kuyaendesha...
Beberu anafanya biashara na beberu!
Watarudi wenye export sasa!

Ubinafsi, uchoyo na roho za kimaskinii za viongozi wa kiafrika...

SA wameuona huo upepo, TZ ilifeli, Zim imefeli. Hawawezi kamwe kufanya huo upuuzi. Namib, Swatna hivyo hivyo..

Everyday is Saturday............................😎
 
Back
Top Bottom