Zimbwe jr hapaswi kuichezea taifa stars kwasasa.

Zimbwe jr hapaswi kuichezea taifa stars kwasasa.

Tupe facts toka ameanza kucheza ligi kuu amecheza michezo mingapi amepata kadi njano ngapi ns kadi nyekundu ngapi kisha tupe wastani

Vinginevyo una wivu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuanze kuhesabu wote, haya tuanze na ile aliyopewa dhidi ya TP, endelea na nyingine.......

Nimekwambia marefa wetu wanazibeba Simba, Yanga, viongozi wa TFF, mo na........ wa nchi. Refa akishajua kiongozi fulani yuko timu gani basi maamuzi yatayumba.
 
Ona huyu kijana ana consistence ya kupata Kadi Kwa kila mechi, hawezitoka uwanjani bila Kadi. Na unajuwa mtu akijapatiwa Kadi ya njano uwezo wake uwanjani unapungua Kwa 25% akihofia kupata Kadi nyekundu.
ni mchezaji mzuri Sana lakini kocha afanyie kazi shida yake hiyo itakayomnyima bahati nyingi. Wengine wanaomfuatia kwenye tatizo hili ni fei Toto, shaibu, mkude. Uchezaji mzuri sio kulazimisha kunyang'anya mtu mpira hata Kwa kumharibia afya yake kisoka. Cheza mpira mzuri na kuwaachia wengine afya zao zitazowawezesha kucheza hata wakiwa na miaka 40 wakipenda.
 
Shabalala anacheza mpira lakini usiovutia, anarukia na kuparamia wachezaji wenzake uwanjani, anatumia fujo kunyang'anya mpira wenzake wanaojali afya zao wasiumizwe na uchezaji wake usiozingatia wala kujali afya za wengine.

Kwa uchezaji wake ni rahisi mno kutolewa nje Kwa Kadi nyekundu na kuitia hasara taifa stars. Finali za Afcon referees wako makini Sana kuwalinda wachezaji nyota wasiparamiwe ovyo uwanjani na mashabalala. Hivyo, wachezaji wetu lazima wafahamishwe mapema ili wasije wakapewa Kadi nyingi nyekundu Kwa kuparamia wachezaji wenzao kama wanavyofanya kwenye ligi yetu.
Kwani anakwambia anataka kuchezea taifa stars??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio sababu Amunike alimuacha lakini wako watu walimind Sana kuachwa
Na huyo Amunike wenu mwambie hata asiite mchezaji hata mmoja Simba fresh tu tumeshacheza na klabu vigogo Africa inatosha, km unaota stars kumzuia Senegal, Algeria na beki Gadiel Michael, Yondani kutokufunga wafwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu dogo mpira anacheza sema ana rafu za kipuuzi sana.kama si huruma ya ref hata mechi ya marudiano na tp alifaa apigwe umeme
 
hahahaha wachezaji gani toka mikia wenye msaada taifa stars kidogooo erasto Nyoni

vilabu vigogo afrika vimewapiga goli 16 ugenini bado unatamba
 
l
hahahaha 16-1 ugenini, nyumbani umeshinda 6-1 hahahaha tofauti ya magoli -10

ulipangwa kundi la wajinga mmeishia chezea kata funua ww na mwenzio al ahly
Kundi la Wajinga wakati hao Wajinga wenzio walivyokuja taifa uliungana nao wakakutia ujinga hadi sasa wameondoka wamekuacha na ujinga huo huo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kundi la Wajinga wakati hao Wajinga wenzio walivyokuja taifa uliungana nao wakakutia ujinga hadi sasa wameondoka wamekuacha na ujinga huo huo??

Sent using Jamii Forums mobile app
hawa walipo kuja mkashangilia waliwaacha na akili
 
Attachments

  • Screenshot_20190406-091534-2.jpeg
    Screenshot_20190406-091534-2.jpeg
    24.3 KB · Views: 12
huyu dogo mpira anacheza sema ana rafu za kipuuzi sana.kama si huruma ya ref hata mechi ya marudiano na tp alifaa apigwe umeme
N kweli mkuu,penye ukweli uwemwe tu,sema refa alkwa tu ustaarabu jana.

Sent from Nokia 7 Plus
 
Kundi la Wajinga wakati hao Wajinga wenzio walivyokuja taifa uliungana nao wakakutia ujinga hadi sasa wameondoka wamekuacha na ujinga huo huo??

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini mkuu hawa hawa unaowaita wajinga nyie ndo mlikwa wa kwanza kuwapa nguvu kubwa ya ushabiki kile kipindiiiii,kumbuka tu vzr mkuu,mlivaa jezi zao na gari mlikodi kwenda uwanjani kuwashabikia na hapa ndipo mambo yalivyoanza kuharibikia mpaka leo.

Sent from Nokia 7 Plus
 
Back
Top Bottom