Tuanze kuhesabu wote, haya tuanze na ile aliyopewa dhidi ya TP, endelea na nyingine.......Tupe facts toka ameanza kucheza ligi kuu amecheza michezo mingapi amepata kadi njano ngapi ns kadi nyekundu ngapi kisha tupe wastani
Vinginevyo una wivu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo amepata kombe baada ya kucheza hiyo robo fainaliZimbwe anacheza CAF Champions League hatua ya Robo Fainali,unasemaje na hapo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani anakwambia anataka kuchezea taifa stars??Shabalala anacheza mpira lakini usiovutia, anarukia na kuparamia wachezaji wenzake uwanjani, anatumia fujo kunyang'anya mpira wenzake wanaojali afya zao wasiumizwe na uchezaji wake usiozingatia wala kujali afya za wengine.
Kwa uchezaji wake ni rahisi mno kutolewa nje Kwa Kadi nyekundu na kuitia hasara taifa stars. Finali za Afcon referees wako makini Sana kuwalinda wachezaji nyota wasiparamiwe ovyo uwanjani na mashabalala. Hivyo, wachezaji wetu lazima wafahamishwe mapema ili wasije wakapewa Kadi nyingi nyekundu Kwa kuparamia wachezaji wenzao kama wanavyofanya kwenye ligi yetu.
Na huyo Amunike wenu mwambie hata asiite mchezaji hata mmoja Simba fresh tu tumeshacheza na klabu vigogo Africa inatosha, km unaota stars kumzuia Senegal, Algeria na beki Gadiel Michael, Yondani kutokufunga wafwaNdio sababu Amunike alimuacha lakini wako watu walimind Sana kuachwa
hahahaha wachezaji gani toka mikia wenye msaada taifa stars kidogooo erasto NyoniNa huyo Amunike wenu mwambie hata asiite mchezaji hata mmoja Simba fresh tu tumeshacheza na klabu vigogo Africa inatosha, km unaota stars kumzuia Senegal, Algeria na beki Gadiel Michael, Yondani kutokufunga wafwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwenye wachezaji vigogo umefika wapi ??zaidi kushobokea kila timu wakati hapo tulipofika hamjawahi kuotahahahaha wachezaji gani toka mikia wenye msaada taifa stars kidogooo erasto Nyoni
vilabu vigogo afrika vimewapiga goli 16 ugenini bado unatamba
lWewe mwenye wachezaji vigogo umefika wapi ??zaidi kushobokea kila timu wakati hapo tulipofika hamjawahi kuota
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umeshinda ngapi??l
hahahaha 16-1 ugenini, nyumbani umeshinda 6-1 hahahaha tofauti ya magoli -10
ulipangwa kundi la wajinga mmeishia chezea kata funua ww na mwenzio al ahly
Kundi la Wajinga wakati hao Wajinga wenzio walivyokuja taifa uliungana nao wakakutia ujinga hadi sasa wameondoka wamekuacha na ujinga huo huo??l
hahahaha 16-1 ugenini, nyumbani umeshinda 6-1 hahahaha tofauti ya magoli -10
ulipangwa kundi la wajinga mmeishia chezea kata funua ww na mwenzio al ahly
Povu hili ni kwa hisani ya 4G ya TP MazembeKundi la Wajinga wakati hao Wajinga wenzio walivyokuja taifa uliungana nao wakakutia ujinga hadi sasa wameondoka wamekuacha na ujinga huo huo??
Sent using Jamii Forums mobile app
hawa walipo kuja mkashangilia waliwaacha na akiliKundi la Wajinga wakati hao Wajinga wenzio walivyokuja taifa uliungana nao wakakutia ujinga hadi sasa wameondoka wamekuacha na ujinga huo huo??
Sent using Jamii Forums mobile app
N kweli mkuu,penye ukweli uwemwe tu,sema refa alkwa tu ustaarabu jana.huyu dogo mpira anacheza sema ana rafu za kipuuzi sana.kama si huruma ya ref hata mechi ya marudiano na tp alifaa apigwe umeme
Lakini mkuu hawa hawa unaowaita wajinga nyie ndo mlikwa wa kwanza kuwapa nguvu kubwa ya ushabiki kile kipindiiiii,kumbuka tu vzr mkuu,mlivaa jezi zao na gari mlikodi kwenda uwanjani kuwashabikia na hapa ndipo mambo yalivyoanza kuharibikia mpaka leo.Kundi la Wajinga wakati hao Wajinga wenzio walivyokuja taifa uliungana nao wakakutia ujinga hadi sasa wameondoka wamekuacha na ujinga huo huo??
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio ila kisiri siri!