Zimebaki chini ya siku 90 ndugu zetu wa Kaskazini kwenda kuhesabiwa.

Zimebaki chini ya siku 90 ndugu zetu wa Kaskazini kwenda kuhesabiwa.

Mtambachuo

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
1,907
Reaction score
3,560
Kama ilivyo kawaida yao ndugu hawa kila mwisho wa mwaka kuanzia tarehe
15 Desemba na kuendelea, huenda kuhesabiwa kwenye asili yao mikoa ya
Kilimanjaro na Arusha.

Majiji kama Dar es Salaam, Arusha na Dodoma watu huwa wana pungua na hata
foleni ya magari pia.

Kila la heri.
 
Back
Top Bottom