Zimebaki siku 166 kwenye mwaka

Zimebaki siku 166 kwenye mwaka

Cytochrome p450

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
5,638
Reaction score
15,044
Salaam...

Mpaka kufikia leo tumeshatumia takribani siku 200 kwenye huu mwaka na hivyo kubakiwa na siku 166.

Tujifanyie tathmini ndogo tu, umefanikisha kwa kiasi gani mipango yako ya mwaka huu 2020?

(Rate from 0-10)

Kwangu mpaka sasa ni 3/10
 
Heri wewe una 3 ya 10 Mimi Nina negative 5 ya kumi!!
Nimevuka sifuri na nnadaiwa 5..!😅
 
Huu mwaka ukiacha kula, kulala na kuangalia movie hakuna lingine nimefanya. Sijatafuta pesa kibabe kabisa safari hii maana uchumi umekazia ile mbaya.....
 
Huu mwaka ukiacha kula, kulala na kuangalia movie hakuna lingine nimefanya. Sijatafuta pesa kibabe kabisa safari hii maana uchumi umekazia ile mbaya.....
Noma sana. Kidogo sasa hivi mishe zimefunguka
 
Hiv inakuwaje mutu unaweka malengo kumi? Hivi hayo yanakuwa malengo au matarajio tu..??

Nafikiri hiyo ni namna ya kurate tu...ni kama vile wanavyotumia 100%,sio kwamba mtu anakuwa kaweka malengo/matarajio kumi

Unaweza ukawa umeweka malengo 16 ukawa umetimiza 4.....so basically utakuwa umetimiza robo ya malengo yako,ambayo ukiiweka over 10 inaweza kuwa 2.5/10
 
Somo safi kabisa..
 
Back
Top Bottom