Kama wewe hua una file taxes zako mwanzo wa mwezi, nipo hapa kukukumbusha kua mwisho wa ku file taxes ni tarehe 5 July.
Ukichelewa, utapigwa penalty ya Tsh. 100,000 kwa business na Tsh. 300,000 kwa Kampuni.
Kodi zinazotakiwa kua filed mwezi huu ni hizi;
1. PAYEE na
2. SDL
Kama unahitaji msaada zaidi kuhusu ku file taxes unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi
0678131068
Your Favorite Lawyer.