Zimebaki siku 30 Diamond Platinumz na Zari kulitikisa jiji la Dar es Salaam na nchi nzima

Watamlipa Zari kiasi gani kutokea kwenye hayo?
hawa wajasilia mali... waache wapambane na TRA, hacha wamsaidie mkulu kutafuta kodi zilipo... mkulu atafurahi, usishangae akapiga simu kumpongeza... na kutafuta kujitakasa zaidi mbele za watu huku akiwa kwenye nyumba nyeupe
 
Mmmmmmh
Hayo yanahusiana vipi na nikiyoandika!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…