Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
hawa wajasilia mali... waache wapambane na TRA, hacha wamsaidie mkulu kutafuta kodi zilipo... mkulu atafurahi, usishangae akapiga simu kumpongeza... na kutafuta kujitakasa zaidi mbele za watu huku akiwa kwenye nyumba nyeupeWatamlipa Zari kiasi gani kutokea kwenye hayo?