Mkuu asante kwa madini,hasira za wananchi haswa ziko hapoHuyo upepo wake ni mbaya hata JPM kumkumbatia kumempunguzia credit Sana.
He he he acha kunivunja mbavu zanguNasikia kuna mtu aling'ang'ania kupanda chopa limemtia kizunguzungu. Tangu juzi amelala tu.
Dethilamu idhi dhefu.Kama wanavyofanya wana CCM wengine waliotia nia na kuenguliwa ama kushindwa kwenye kura za maoni, sijawahi kumuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM. Ikumbukwe kuwa aliwahi kuahidi kuwa atazunguka Dar es Salaam nzima kumpigia kampeni Magufuli.
Je, ni kujiamini sana au alikasirishwa na kitendo cha kukatwa?
NB. Ikumbukwe kuwa bado Kuna nafasi za uteuzi ambazo zitatangazwa na Rais atakayeshinda Uchaguzi wa Oktoba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia kuna mtu aling'ang'ania kupanda chopa limemtia kizunguzungu. Tangu juzi amelala tu.
Kuliko watu wote Tanzania.Acheni ale raha
Makonda anafikiria sana ,yupo na stress haswa kuwa itakuwaje tundu lissu akiingia madarakani?Kama wanavyofanya wana CCM wengine waliotia nia na kuenguliwa ama kushindwa kwenye kura za maoni, sijawahi kumuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM. Ikumbukwe kuwa aliwahi kuahidi kuwa atazunguka Dar es Salaam nzima kumpigia kampeni Magufuli.
Je, ni kujiamini sana au alikasirishwa na kitendo cha kukatwa?
NB. Ikumbukwe kuwa bado Kuna nafasi za uteuzi ambazo zitatangazwa na Rais atakayeshinda Uchaguzi wa Oktoba.
Nasikia kuna mtu aling'ang'ania kupanda chopa limemtia kizunguzungu. Tangu juzi amelala tu.
Ebwwna eeh sio Makonda wa zamani. Mwanaccm aliyekomaa enzi hizo akiwa na akina Nape hali mida kama hii ilikiwa ni tete.Kama wanavyofanya wana CCM wengine waliotia nia na kuenguliwa ama kushindwa kwenye kura za maoni, sijawahi kumuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM. Ikumbukwe kuwa aliwahi kuahidi kuwa atazunguka Dar es Salaam nzima kumpigia kampeni Magufuli.
Je, ni kujiamini sana au alikasirishwa na kitendo cha kukatwa?
NB. Ikumbukwe kuwa bado Kuna nafasi za uteuzi ambazo zitatangazwa na Rais atakayeshinda Uchaguzi wa Oktoba.