Kama wanavyofanya wana CCM wengine waliotia nia na kuenguliwa ama kushindwa kwenye kura za maoni, sijawahi kumuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM. Ikumbukwe kuwa aliwahi kuahidi kuwa atazunguka Dar es Salaam nzima kumpigia kampeni Magufuli.
Je, ni kujiamini sana au alikasirishwa na kitendo cha kukatwa?
NB. Ikumbukwe kuwa bado Kuna nafasi za uteuzi ambazo zitatangazwa na Rais atakayeshinda Uchaguzi wa Oktoba.
Itoke wapi?labda fursa gerezani mana hakika Lissu anakwenda kuwa Rais wa TanzaniaBado mwezi mzima wa kampeni,sema Makonda kukosa madaraka kunamyima raha.Bora ajipangie likizo bila malipo hadi January 2021,labda anaweza kuokoteza fursa.
Ungekuwa mgombea ungekubali akunadi jukwaani?Kama wanavyofanya wana CCM wengine waliotia nia na kuenguliwa ama kushindwa kwenye kura za maoni, sijawahi kumuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM. Ikumbukwe kuwa aliwahi kuahidi kuwa atazunguka Dar es Salaam nzima kumpigia kampeni Magufuli.
Je, ni kujiamini sana au alikasirishwa na kitendo cha kukatwa?
NB. Ikumbukwe kuwa bado Kuna nafasi za uteuzi ambazo zitatangazwa na Rais atakayeshinda Uchaguzi wa Oktoba.
Yuko na mwana KaweKama wanavyofanya wana CCM wengine waliotia nia na kuenguliwa ama kushindwa kwenye kura za maoni, sijawahi kumuona Makonda akiwanadi wagombea wa CCM. Ikumbukwe kuwa aliwahi kuahidi kuwa atazunguka Dar es Salaam nzima kumpigia kampeni Magufuli.
Je, ni kujiamini sana au alikasirishwa na kitendo cha kukatwa?
NB. Ikumbukwe kuwa bado Kuna nafasi za uteuzi ambazo zitatangazwa na Rais atakayeshinda Uchaguzi wa Oktoba.