Sawa sawa....nimekupata.Mzee baba hakuna vigezo vya umri. Tunaamini sote tulio huku tu watu wazima.
Lzm niwepo.....! Party inogeHabari za jioni Wakuu.
Zimebaki week tano kufanyika JF get together party na week nne za kuwasilisha michango.
Siku ya mwisho ya kutoa mchango ni tarege 8/12 na siku yenyewe maalum kabisa itakua tarehe 15/12 siku ya jumamosi.
Hivyo basi wale wenye nia ya kushiriki nasi karibuni nyote tukafurahi kwa pamoja
Kwa maelezo zaidi mnaweza kupata kupitia huu uzi
JF-get together party Disemba 2018 - JamiiForums
Madame B
Nipo Dar ila nimefulia kuna offer ya bure?.
K vant tu ziwepo za kutosha....Usikose Professor
Tena zile kubwa k vantK vant tu ziwepo za kutosha....