RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Mikwara tu...saa hizi anapigwa na winter huko anakobeba maboksi.Nop hujakosea. I can guess u two gonna be good fellows
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikwara tu...saa hizi anapigwa na winter huko anakobeba maboksi.Nop hujakosea. I can guess u two gonna be good fellows
Salam!! ndiyo kwanza naingia Dar... nitafikajee kwa wahusika na nitalipaje mchango wangu?Habari za jioni Wakuu.
Zimebaki week tano kufanyika JF get together party na week nne za kuwasilisha michango.
Siku ya mwisho ya kutoa mchango ni tarege 8/12 na siku yenyewe maalum kabisa itakua tarehe 15/12 siku ya jumamosi.
Hivyo basi wale wenye nia ya kushiriki nasi karibuni nyote tukafurahi kwa pamoja
Kwa maelezo zaidi mnaweza kupata kupitia huu uzi
JF-get together party Disemba 2018 - JamiiForums
Madame B
Mie niko flat rafiki yani hata muhindi haoni ndaniNahitaji na wa kwako pia![emoji4][emoji4][emoji4]
Rafiki wewe ndiyo huyu hapa![emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]Mie niko flat rafiki yani hata muhindi haoni ndani