Zimebaki Week 5 Kufanyika JF Get Together Party 2018

Zimebaki Week 5 Kufanyika JF Get Together Party 2018

Habari za jioni Wakuu.

Zimebaki week tano kufanyika JF get together party na week nne za kuwasilisha michango.
Siku ya mwisho ya kutoa mchango ni tarege 8/12 na siku yenyewe maalum kabisa itakua tarehe 15/12 siku ya jumamosi.
Hivyo basi wale wenye nia ya kushiriki nasi karibuni nyote tukafurahi kwa pamoja

Kwa maelezo zaidi mnaweza kupata kupitia huu uzi
JF-get together party Disemba 2018 - JamiiForums

Madame B
Salam!! ndiyo kwanza naingia Dar... nitafikajee kwa wahusika na nitalipaje mchango wangu?
 
Mie niko flat rafiki yani hata muhindi haoni ndani
Rafiki wewe ndiyo huyu hapa![emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
Unakuta%20mtu%20kaposti%20INSTA%20%20halafu%20kaandika%2C''Baby%20ake%20nani%20huyu__Team%20K...jpeg
 
Back
Top Bottom