Zimebaki Week 5 Kufanyika JF Get Together Party 2018

Utakuwa umeenda kuhesabiwa, pole sana kwa kuikosa hiyo...Ushiriki wako ni muhimu mkuu au huwezi ahirisha kwenye hesabu mwaka huu
Kwenye namba mbona unawahi hivyo?? au unaenda kuandaa ndizi za mbege?
[emoji23][emoji23] naenda kutambika kwanza kabla ya namba. Nikirudi mjini mwakani mizimu ya kwetu ilete baraka na mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…