Zimebakia siku Chache za Taifa Kuadhirika kimichezo

Mwaka gani na ardhi ya nchi gani hiyo mkuu na ilimfunga nani?
1993 fainali ilichezwa Nakivubo Uganda zidi ya Club Sport Villa,na wakarudia tena 1999 Nchini Uganda zidi ya Villa. Ni Timu pekee ya Tanzania iliyonyakua makombe mara nyingi nje ya Ardhi ya Tanzania ambapo Mikia hawajawahi kujaribu hata mara moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Teh teh teh

Vyuraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…