Zimebakia siku Chache za Taifa Kuadhirika kimichezo

Zimebakia siku Chache za Taifa Kuadhirika kimichezo

Taifa litaadhirika kutokana na Chura FC kuhama hama timu kama wendawazimu ila wana wa Nyika Mikong'oto FC wanabaki kuwa juu...konki faya!
 
Yanga hakuna michezo hiyo. Mchezo ujao Jiandae, tena uage kabisa zamu yako kukamuliwa damu na majini.
Mbutembute bhana, sasa kama hayo mambo hamna hayo ya kukamuliwa damu na majini umeyajuaje?...
Nyie jipeni moyo tu huko, maana hata kuchagua viongozi mmeshindwa!
 
Mbutembute bhana, sasa kama hayo mambo hamna hayo ya kukamuliwa damu na majini umeyajuaje?...
Nyie jipeni moyo tu huko, maana hata kuchagua viongozi mmeshindwa!
Jipendekeze kwa Mchina siku ya mechi.
 
Injiniiaaa somaa hiyooo... Ngapi ukoo
simbasctanzania___BsieP2jnbtc___.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom