Ni Afrika Mashariki na Kati Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Afrika Mashariki na Kati Mkuu.
Yanga hakuna michezo hiyo. Mchezo ujao Jiandae, tena uage kabisa zamu yako kukamuliwa damu na majini.Tutakutoa wewe hiyo kafara...
Mbutembute bhana, sasa kama hayo mambo hamna hayo ya kukamuliwa damu na majini umeyajuaje?...Yanga hakuna michezo hiyo. Mchezo ujao Jiandae, tena uage kabisa zamu yako kukamuliwa damu na majini.
Jipendekeze kwa Mchina siku ya mechi.Mbutembute bhana, sasa kama hayo mambo hamna hayo ya kukamuliwa damu na majini umeyajuaje?...
Nyie jipeni moyo tu huko, maana hata kuchagua viongozi mmeshindwa!
Nadhani baba yako wewe na mkewe ndiyo mmeadhirika, mfyuuuuZimebaki siku chache tu Taifa liingie kwenye aibu kubwa kimichezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
.Jipendekeze kwa Mchina siku ya mechi.