GE2025 Zimeenda wapi hamasa za wadau, mijadala, warsha kipindi cha uchaguzi? Mbona kuna kimya kuelekea Oktoba?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
mijadala ilikua inaendeeshwa na kundi la chadema kipindi kila chadema ina nguvu

sasa hivi chadema is effectively dead

hakuna cha mjadala tena...mpaka kije kutokea chama chenye nguvu sana cha upinzani

hapo ni aidha Chaumma au ACT au chadema yenyewe ikirudi hewani kama zamani

otherwise ni hivi hivi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…