Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Vunja mifupa mzee, kua makini tu usirasimishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukute na wewe ni zimwi. mazimwi mmektana 😀 😀 😀Akili zao wanazijua wenyewe!, kamshawishi rafiki yake anitege nami babu rambaramba nikategeka!,nae alietumwa kadata na penzi limemkolea baada yakukutana na huba toka anga za unyamwezini!.
Alietuma papaso la wivu lamtafuna,ule utamu wangu aliouona uchungu sahivi anautaka!. Nami ndo kwanza nimezama kwenye huba la zimwi lililotumwa sasahivi ndio kama malaika wangu!.
Penzi limeiva kama chungwa lililojazwa na maji matamu isiyoelezeka!.
Nimwambie nini asifanye?
Sio kama yule mwanamke gaidi hasidi mbishi mwenye kila aina ya ukaidi!..
Hapo awali nilikuwa naamshwa kwa kuvutwa vidole vya miguuni mpk vikawa virefu!, sahivi naamshwa kwa kuitwa na sauti nyororo nisipoitwa laaziz basi nitaitwa ya habib! Nami humsalimu "Asalaam alyeikum ya habib".
Sasa nipo kwenye penzi la mahanjumati,harua na tashtwitwi zote za pwani...
😉😁
View attachment 2924493