Zinaa imekithiri, magonjwa yameongezeka sana

Zinaa imekithiri, magonjwa yameongezeka sana

Jaman wazee wa JF,

Nyie wapenda zinaa kila kona hamna kidume kimeacha kusema nakujisifia wanavyoichakata mbunye mara mbususu chai zao wakileta wamejaza tangawiz kbao yaan na limao wanaweka jins wanataka sifa...mara nakula mke wa mtu, mara mke wa kaka, mara shemej, jirani...

Sasa endeleeni kula ni fashion sasa ila mtambue mpo kwenye mtandao mkubwa wa HIV yaan ulomla kaliwa na aliomla kala pengine na mwingne anakula pia wote mnaenda na maji ...kutuliza gololi zenu hamuwez nyie wanaume,..picha ndo kama hilo mkapime huenda ni wafu mlio hai

UKIMWI nimeanza kuusikia mwaka 1985 nikiwa form one! Namshukuru mungu nimekuwa hai mpaka Leo na salama! Tulipousikia wakati ule kweli tuliuogopa sana! Ulikuwa maarufu kwa Jina la JULIANA.Ki ukweli sikujua kuwa ningekuwepo hadi leo.Wakati ule UKIMWI ukikupata kulikuwa hakuna habari ya A R.V wala chochote hiyo ilikuwa kwaheri! Kuna jamaa alipima akajirusha kwenye ghorofa baada ya kubainika kuwa ni +ve.Matangazo kwenye radio wakati huo T.V ni hala yaligusa kuepuka UKIMWI.Nyimbo zilitungwa na wasanii MF."UKIMWI"ni hatari kwa maisha yako jikinge na UKIMWI acha uasherati ,CIDA wimbo maarufu kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wakati huo Zaire n.k. Dunia ilizizima kwa ajili ya UKIMWI.UKIMWI ulipamba kurasa za mbele za magazeti, Tulisikia kufanyika kwa tafiti mbalimbali kuhusu dawa ambapo mpaka Leo hii haijapatikana! Kings ya kwanza waliyoikimbilia watu ilikuwa Kondumu ambapo bado ukitumia ilikuwa unajenga mashaka.Ama kweli DUNIA HAIJAWAHI KUWA MAHALI SALAMA pa kuishi.!!!
 
Hzo kit huwa zna tabia ya kuweka mistari miwil inapoachwa muda mrefu hata kama mwanzo ilionesha mstar mmoja.

Kwahyo msiogope sana.

Kwasasa kupata ukimw n ngumu sana,maana wenye ukimw wanatumia vzur ARV hvyo n vgumu sana kumuambukza mwingne
 
Back
Top Bottom