Zinadine Zidane atemwa kupewa timu ya taifa ya ufaransa kwa kiburi chake,Didier deshamps ala shavu hadi 2026

Zinadine Zidane atemwa kupewa timu ya taifa ya ufaransa kwa kiburi chake,Didier deshamps ala shavu hadi 2026

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Kiburi cha Zidane kimemtokea puani

Rais wa ufaransa Emmanuel Macron kuelekea mechi ya fainali ya kombe la Dunia kule bara la asia kati ya ARGENTINA na Ufaransa alitoa ndege kwa watu maarufu kwenye mpira wa ufaransa kuungana naye kwenda kuangalia fainali bwana zidane na benzema wakamletea dharau wakakataa kuungana naye

Kina ngolo na wenzake wakakubali kwenda kuangalia fainali

Sasa mamlaka za soka ufaransa zikamuonyesha kuwa yeye ni mtu mdogo na asiyekuwa na umuhimu kwa ufaransa bahati ikamuangukia tena deshamps akaongezewa mkataba

Wafaransa wanasema yale maneno aliyotamkiwa zidane na materazi yalikuwa ya kweli

Zidane kwa wakati tofauti aliwahi kukataa ofa za kunoa Manchester United,Psg na timu zingine kwa kigezo cha kusubiri kuwa kocha wa timu ya taifa ya ufaransa

Tuungane kumlaani huyu Zidane amekosa hekima na akili
Mjinga huyu aende sasa akafundishe algeria
 
Nyuzi nyingine hizi 😂, yaani sisi ndio tumlani zidane, hivi kwani zidane alisema anataka timu ya taifa..

Benzema alikuwa sahihi, alitaka kuwa kwenye kambi, akatimuliwa, sasa ya nini fainali kuniita nikatizame.
 
Back
Top Bottom