Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Hii ishu siyo kweli ni assumption ambayo ilishafanyiwa kazi na kuonekana haiwezekani.Ukiwa kwenye siku zako. Na mimi nikipiga puli japo sipigagi Inna anajua.
Then zile sperm zibaki kwenyw maji au sabuni au bruah.
Wewe ukija kuona au zikikugusa kwenye k yako.
Unapata mimba hapo hapo
Sasa unavyomwagiwa ndani ndio hatari zaidi. Watch out.