Hii ishu siyo kweli ni assumption ambayo ilishafanyiwa kazi na kuonekana haiwezekani.Ukiwa kwenye siku zako. Na mimi nikipiga puli japo sipigagi Inna anajua.
Then zile sperm zibaki kwenyw maji au sabuni au bruah.
Wewe ukija kuona au zikikugusa kwenye k yako.
Unapata mimba hapo hapo
Sasa unavyomwagiwa ndani ndio hatari zaidi. Watch out.
AaaWE! Saint. Usichapiechapie majibu.Iko hivi: Akiwa kwenye siku zake (ashakum si matusi) au anableed ni kipindi ambacho nyumba ya uzazi (Uterus) inajisafisha kutokana na kutotungwa mimba. Yaani yai(Ovum) ambalo halikurutubishwa linaharibika na linatoka pamoja na ukuta uliotarajiwa kuendeleza mimba kama yai hilo lingerutubishwa.Kwa hiyo Mwanamke akiwa kwenye siku zake hawezi kushika mimba ila anavaa pedi, si unazijua aisee? Siku hizi wanazitupa hovyo njiani baada ya matumizi ni uchafu.mmmh.... haya Saint