Zinauzwa: Juicer, photocopier, jiko la kukaangia chips, sealing machine

Zinauzwa: Juicer, photocopier, jiko la kukaangia chips, sealing machine

nahitaji PRINTER & COPY naishi BABATI.Nitafutie isiyo zidi lack 1.0753 48 70 23.Barikiwa
 
Mkuu hivyo Vitu vitachukua muda gani kufika .... nahitaji hiyo sealing machine
 
Wakuu ,mzigo bado upo karibuni tena kwa biashara!
 
Unalo jiko la kukaanga chips linalotumia gesi? Nahitaji pia oven ya gesi. Tuwasiliane 0621 053 506
 
Habari, nauza bidhaa zifuatazo
1.Juicer(ya kukamulia machungwa,maparachichi nk)
Condition:MPYA,Imported from China, ni manual haitumii umeme ,gesi, wala mafuta, unatumia mkono tu.ni nzuri kwa biashara hasa maeneo yenye mkusanyiko
BEI: laki 2 na 60 TU(260,000)

2. Potato frying machine(ya kukaangia chips)
Condition: MPYA, kutoka China, inatumia umeme (umeme wa kawaida sana, haili umeme), ina sehemu mbili, Inafaa kwa biashara na nyumbani pia
BEI: Laki 2 na 70 tu(270,000)

3.Photocopier canon IR1600
Condition: USED(mtumba).
Bei:laki 8(negocible)

Rico Aficio MP3045 (Heavy duty)
Condition: USED(Mtumba kutoka china)
Ina print, scan, copy, fax
Speed: 45 copies/ Dakika 1
Copy at once: 999
Inafaa kwenye sehemu za vyuoni au kwa wenye tender kubwa.(picha imegoma, ukihitaji ntakutumia whatsap)
BEI :3M(not fixed)

4.sealing machine(kubania vifuniko vya glass za plastiki/take away)
Condition:MPYA kutoka China
Bei :Laki 4.5( 450,000)

5.Camera
NIKON coolpix L810 kutoka marekani(assembled in China)
condition:almost New(imetumika mara moja kwa majaribio)
Video&picha za mnato, rechargable batteries, 26 optical zoom wide, lens-shift VR, 16.1 Megapixel,HDMI ,921 k dots, 3.0 inch
BEI: USD 300(laki 6) can be negotiable .(picha imegoma,ntatuma whtsap)

Mawasiliano:Tafadhali nitumie ujumbe PM (Nimelazimika kuiondoa namba ya simu niliyokuwa nimeweka kwa sababu baadhi yetu walikosa ustaarabu)

Location: bidhaa zote zipo nje ya DSM(TANGA), gharama za kuifikisha bidhaa dsm ni juu yangu ikiwa tutakubaliana biashara.tutakapokubaliana biashara then Ndani ya 24hrs bidhaa itakuwa imefika Dsm
Karibuni tufanye biashara for serious buyers.
Halow, hivi hii juicer nitaipata wapi? mwenye nayo tuongee inbox
 
Back
Top Bottom