Tetesi: Zinazodaiwa kuwa sababu za RC Meck Sadiki, Jaji Mujulizi na Jaji Upendo Msuya kuacha kazi

Yayi !unaweza kuandika katika barua ya kujiuzulu kuwa nimekwapua kwa najiuzulu ili kukwepa rungu la dola?
 
Kama ndiyo hivyo hawana sifa ya kuwa Viongozi ila kwa tz inawezekana kwa ndugu zetu wakujitoa ufahamu
 
Reactions: SDG
Eti Meck Sadil unadhani atashughulikiwa? Hivi Mkuu ni kweli ufisadi wooooote uliofanyika ndani ya Tanzania ndo ashughulikiwe huyo kwa hizo Bilion 2 tu?
 
Reactions: SDG
Haya maneno ningeyaamini kama wangekuwa wametumbuliwa ila siyo kwa wao kujiuzulu kwa hiyari yao wenyewe..
 
Mtu mpaka anakuwa jaji kumbe siyo raia! Kweli Tanzania tuko watupu. Maadui Wa nchi yetu wanasherehekea tu.
 
Shukran kawa habari hii, zidi kutuletea updates za hii kitu............
 
Hapa bongo haijazoeleweka viongozi kujiuzuru wenyewe bila shinikizo la bunge au mabaraza ya madiwani. Ndio maana ikitokea watu wamejiuzuru bila kuwekwa wazi kwa sababu za kujiuzuru kwao kila mtu anaanza kutunga sababu zake anazojua.

Sasa inakua ngumu kuamini kama kweli wamejiuzuru kwa sababu ya kashfa, au la.
Kama kweli wana hizo kashfa basi sheria ifanye yake.
 
Mkuu. Hivi majaji wakiugua kwa muda mrefu wanatakiwa kujiuzuru?
 
Ikiwa Kama Ni Kweli! !!
Asingewakubalia Kuachia Ngazi Ingawa Hili Nalo Ni Doa Utawala Huu Endapo Hayo Aliyosema Mleta Mada Yana Ukweli 100%

Tuombe Mungu Kikombe Kiwaepuke!!!
 
Reactions: SDG
Fafanua wameacha kazi au wamelazimishwa kuacha?
 
Reactions: SDG
Hmm,waweza kuwa sahihi. Ttzo timing ya huku kujiuzuru. Why wote kwa mpigo? Je,waliambizana kuwa wajiuzuru kwa pa1? ,Je,Tz tuna historia ya kushuhudia waheshimiwa majaji waki-tender resignation letters for whatsoever reason? With time,every thing will come in the open.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…