Kwanza nakushukuru saana mrembo wetu Ciello kwa kuniwezesha niipate ile CD ya WOMAN OF STEEL!
Na pili nakupongeza kwa kunyakua taji maridhawa kabisa la CC!
Mi nina ombi . .
Nataka nije kufanya kazi hapo ofisini kwenu,
Naomba unifanyie manyuva basi!
We sasa hivi unajulikana mwana!!! LOL
Lazima rushwa ya viungo vya mwili ilipita.
Thanx Kipipi ,next tmy u need anthr telenovela just tell m!
Zile za kikorea unazo??
Thanx Kipipi ,next tmy u need anthr telenovela just tell m!
kwi kwi kwi! umeniua mbavu angu wallah! khaaaaa eti ujifie kifuani mwangu, tena niniliu ikiwa chemba kwake! what a crime?? mwahhhhhh ny hubby AsprinOle wako uwe umeongeza la wiki mbili tu. Mie Nataka la angalau miezi mitatu nijifie kifuani mwako.
kwi kwi kwi! umeniua mbavu angu wallah! khaaaaa eti ujifie kifuani mwangu, tena niniliu ikiwa chemba kwake! what a crime?? mwahhhhhh ny hubby Asprin
Kwanza nakupa hongeraaa
nakupa hongeraaa
ila nina swali ambalo halijaulizwa na yeyote yule kwakooo miss
"JE!. wewe ni mshabiki wa timu gan ya mpira ndani na nje ya nchi???
"JE.! Ilikuaje ukashabikia timu tajwa habo juu???
nawasilisha.
Kipipi swala la Amyner na mimi halikuhusu we tulia mumy we siunamjua rafiki yako kwa undani? Hope hakuna baya lolote..Relux come to my way and enjoy mylove!
Nataka The Long Wait ile ya kina Lorea/Red Butterfly.
Rebecca pia nayo naineed vere vere (sikuzimalizia)
BTW, mbona ombi langu hujalijibu . . . . kidhuri kula na Kipipi, kamwe hutohisi uchungu!!
Heheheheee we mdada hujambogi?Nimekipenda hiki kipindi,
Ok sawa....naomba nianze maandalizi ya kipindi mapema Zinduna
Wiki ijayo Jumamosi ya tarehe 10/11/2012 Zinduna Talk Show, mjengoni atakuwepo Aunt BADILI TABIA akihojiwa na Erickb52
Stay tune.
Nimenyoosha mikono na miguu na kukuvulia nanihii... kofia! Hata huku umenifata? Basi nimeshajua your love is true love!
hubby hunisomi nini/? mbona nilikuja nikakukosa! hukupata salamu kuwa mwenza kasafiri, au hujaagwa??Afu we mbona umekuwa hivyo? Sikusomi kabisa ujue..... Au hujui nna naniliyu zako?
No.8:Sijaolewa na sina mtoto.Kuhusu kuwa na mpenzi niseme tu its complicated!
Hebu jaribu kusearch online:Watch Full Episodes online Free-Latest TV Shows Full Series,Season/Videobull.com,waweza kudownload,kuna movies na series kibao! Kuhusu ishu yako ebu niPM uko wapi na fani yako!