Zinduna Talk Show: Exclusive interview na Ciello kuhusu ushindi wake wa Miss chit chat wa jana~~~~!

Zinduna Talk Show: Exclusive interview na Ciello kuhusu ushindi wake wa Miss chit chat wa jana~~~~!

Nipo aseme baba yangu, na kunywa ka banana hapa..... Mzima? habari za Jumamosi... Weekend Njema Asnteee sana ingawa najua roho inakuuma Arabella kushindwa ila ndi ushindani babaaangu

Shwari aisee, mi mwenyewe niko zangu hapa makirikiri bar nadodosha ndovu mojamoja
 
Dah Ciello, una majibu mazuri lkn nitaongea na mtangazaji atoe namba ya ku2mia kuuliza maswali ya hapo kwa papo.
 
Shwari aisee, mi mwenyewe niko zangu hapa makirikiri bar nadodosha ndovu mojamoja
Wewe ee ni mjanjaa aiseee unakunywa kilicho boraaaa kabisa... Kimeshinda tuzo ya monde selection iyo kitu... Mi, nataka nikutafute kitimot* na siku nyingi sijala babaaangu!
 
Hivi ile kichwa huwa inaskia limbwata ile, maana utadhani imelogezewa aisee
tena huwa likimkolea mpaka nyumba ya wazazi wake ananipa hati! chezeiya nyama za chiuni weye Baba V?
 
Last edited by a moderator:
Wewe ee ni mjanjaa aiseee unakunywa kilicho boraaaa kabisa... Kimeshinda tuzo ya monde selection iyo kitu... Mi, nataka nikutafute kitimot* na siku nyingi sijala babaaangu!

Aisee umetaja mdudu, huku ndo pande zake aisee, ukipata muda we nistue nikupeleke inakopatikana mbuzi katoliki ya ukweli aisee, huwa tunachanganyika na waUAMUSHO kibaao aisee
 
Aisee umetaja mdudu, huku ndo pande zake aisee, ukipata muda we nistue nikupeleke inakopatikana mbuzi katoliki ya ukweli aisee, huwa tunachanganyika na waUAMUSHO kibaao aisee
Basi mi nitakutafuta aisee, hiyo kitu naithamini sanaaaaaa ....... Iyo ishushie na Guinness lol! Huto acha
 
rabekhaaaaa Zinduna! nimekimbiaje sasaapo nilikuwa msoga, bimekwenda kumroga babu Asprin, limbwata lake lilikwisha, ndio nimekwenda ongeza dozi!, lol
Ole wako uwe umeongeza la wiki mbili tu. Mie Nataka la angalau miezi mitatu nijifie kifuani mwako.
 
Kwani na wazee wanashindania u-Miss?
Ngoja tuandae Bibi Chit-Chat hope utashinda!
Kwanza ulinifanya na mimi nkazeeka sikutaki tena Kongosho nimerudi kwa the totoz under 18 kama cielo na Kipipi

Usiharibu mood ya Ciello bana we huoni viroba vya maswali vinavyomiminika!

Halafu we siku Amyner akija . . . .sitakuruhusu unihusishe kwa lolote!
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nakushukuru saana mrembo wetu Ciello kwa kuniwezesha niipate ile CD ya WOMAN OF STEEL!

Na pili nakupongeza kwa kunyakua taji maridhawa kabisa la CC!
Mi nina ombi . .
Nataka nije kufanya kazi hapo ofisini kwenu,
Naomba unifanyie manyuva basi!

We sasa hivi unajulikana mwana!!! LOL
 
Last edited by a moderator:
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwako wewe Ciello kwa kushiriki kikamilifu katika Zinduna Talk Show. maswali uliyajibu kwa ukamilifu na kwa ustaarabu wa hali ya juu, ulionyesha ushirikiano mkubwa ambao sikuutegemea.

Napenda pia kutoa shukrani zangu za dhari kwa washiriki wote wa talk show, bila kuwasahau wasaidizi wangu cacico, gfsonwin, snowhite, Young Master, Bujibuji, kwa ushirikiano wao wakati wa kuendesha hiki kipindi.

Kwa sasa napitia talk show hii ili kufanya tathmini kujua ni maeneo gani ya kufanyia marekebisho.....
Piqa nitafurahi kupokea maoni ya wadau kuhusiana na namna ya kuendesha kipindi hiki.
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa kushukuru cherry Zinduna, it was pleasure talking with u.Ur welcome!

Back
Top Bottom