The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
Swali la nyongeza:
Unapendelea style gani?
God is watching u
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali la nyongeza:
Unapendelea style gani?
No.9:Tukio la kuondokewa na mama yangu kipenzi (Mungu amlaze pema) zikiwa zimebaki siku 10 nimalize elimu ya msingi.Ni tukio lililoumiza moyo wangu na kuyabadili maisha yangu kwa sehemu kubwa.
Ulipotezeaaga! nilidhani chama .... Uliacha kabisa ph mh! PamojaNo nilitaka kustudy mining bt nikapotezea!
God is watching u
Hapo kwenye bold naomba manoah aje aone then sisi tunakaa pembeni
Pia naomba Blaki Womani na marejesho waje waamue
maswali yote nahis yashaulizwa na naanza kuona majibu tuu .
Did I miss anything ova here?. . .
Hongera Ciello,