Zinduna Talk Show: Exclusive interview na Ciello kuhusu ushindi wake wa Miss chit chat wa jana~~~~!

Zinduna asante kwa kipindi
Ciello pole kwa kuondokewa na mama
Swali langu kwako Ciello ni nini utawafanyia wana chit chat katika kindi hiki chako cha kuwa miss Chit chat wa mwezi November

Swali zuri sana Mr. Rocky, lakini pia nilitaka kujua gharama alizotumia katika kampeni zake za kusaka ushindi na aeleze alizipata wapi?
 
Malkia wetu kumbe ulikuwa mnoko eeh? Nadhani sasahivi umebadilika ukimuona tena hutamsemea!

Huenda alipowafumania walimshauri na yeye akaduiwe, hawatamsemelea ili iwe ngoma droo
 
Hongera sana ciello nimependa unavyo jibu maswali safi sana kwa kufunguka!

NB: swala la tuhuma za kutoa rushwa lisikusumbue maana hakuna aliye weka ushahidi mezani hadi sasa!
 
Ndiyo ni member humu.Ritz hajanitokea so siwezi kupredict majibu ntayotoa kwake.
huyo mtu ni member hapa jf? Je ukitongozwa na Ritz1 utakubali?, kwanini?
 
Last edited by a moderator:
hongera Ciello.

Hivi miw mbona sijawahi kushinda? Kuna rushwa hapa, iundwe kamati kuchunguza.
 
Thanx mkuu.
Hongera sana ciello nimependa unavyo jibu maswali safi sana kwa kufunguka!

NB: swala la tuhuma za kutoa rushwa lisikusumbue maana hakuna aliye weka ushahidi mezani hadi sasa!
 
Zinduna nipo mama...nilikuwa nangoja Kipipi wangu amalize kuniandalia matunda nipate hamu ya maswali...sasa tuko poa!
Swali kwa cielo
1. Muda mwingi uko JF unachat je unafanya kazi sangapi? Je unadhani unalitumikia taifa kama unavyopaswa? Je ni sahihi kutokuwa mbunifu wa kazi nyingine kuliko kuchat kisa uko free?
2. Kwa kuwa uko na kazi...je umeachana na tabia za wadada na wamama kuwa wategemezi kwa wanaume hata kama wana uwezo?
3. Je utajisikiaje nikikukubalia ombi lako la kuwa na mimi nje kidogo ya Arusha?
 
Last edited by a moderator:
No alinisihi nisiseme nikakubal,ila sikumoja akanipiga basi kwa hasira nikamchomea utambi.
Malkia wetu kumbe ulikuwa mnoko eeh? Nadhani sasahivi umebadilika ukimuona tena hutamsemea!
 
hongera Ciello.

Hivi miw mbona sijawahi kushinda? Kuna rushwa hapa, iundwe kamati kuchunguza.
Kwani na wazee wanashindania u-Miss?
Ngoja tuandae Bibi Chit-Chat hope utashinda!
Kwanza ulinifanya na mimi nkazeeka sikutaki tena Kongosho nimerudi kwa the totoz under 18 kama cielo na Kipipi
 
Last edited by a moderator:

safi mamduchu ,ndo mana nilijikuta tu nakukukubali ulivoingia tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…