Zinduna Talk Show: Exclusive interview na Ciello kuhusu ushindi wake wa Miss chit chat wa jana~~~~!

No.9:Tukio la kuondokewa na mama yangu kipenzi (Mungu amlaze pema) zikiwa zimebaki siku 10 nimalize elimu ya msingi.Ni tukio lililoumiza moyo wangu na kuyabadili maisha yangu kwa sehemu kubwa.

Pole sana miss..!
 
Bado sijajua ila baada ya kukaa na Miss Chit Chat wa october,mamito Madame B na kupata some insight nitajua nifanye nini.
Zinduna asante kwa kipindi
Ciello pole kwa kuondokewa na mama
Swali langu kwako Ciello ni nini utawafanyia wana chit chat katika kindi hiki chako cha kuwa miss Chit chat wa mwezi November
 
Last edited by a moderator:
nipo mamii Zinduna si unajua leo jmosi shurti mttoto wa kike kufanya usafi wa kufumua fumu vitu ,kisha kukoga HASA!kuandaa staftahi ya maana kweli kweli si unazijua zile za mama yupo leo!basi nikachelewa kuingia humu!ILA HONGEAR SANA KWA mamduchu wangu Ciello NIMEFURAHI SANA !
 
Last edited by a moderator:
Nilijifunza kuwa responsible kwani kabla nilikuwa mtukutu sana.kutokuwepo kwake kulinifumbua macho na kunifanya nijifunze kuwa strong na kustand on my own.
Pole sana, ni mapenzi ya Mungu, na kazi yake haina makosa.
je ni jambo gani muhmu maishani ulijifunza baada ya kifo cha mama.
 
Baba V, nakuona unachungulia hapo chini, maji mazito nini?
Ngoma ya vijana hii utatoka kamasi ukiingia kichwa kichwa, kajipange kwanza ndo uje na maswali yako hapa.
 
Last edited by a moderator:
Umekuwa unanistalk eeeh!niko likizo kwa sasa ingawa inaelekea ukingoni,so nimetumia muda huo kutravel na kuchat.kuutendaji niko vizuri aseee mwenyewe najikubali.kuhusu ofa yako siko arusha kwasasa !
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 kwani vipi mkuu, hiyo signature yako inanikumbusha home sweet home sana du!!
Hahahahaaaa nivea acha kukwepa swali aisee huwa najiuliza kila siku ila nakosa jibu bora leo niulize...nijubu basi hata kwa PM
 
Last edited by a moderator:
Umekuwa unanistalk eeeh!niko likizo kwa sasa ingawa inaelekea ukingoni,so nimetumia muda huo kutravel na kuchat.kuutendaji niko vizuri aseee mwenyewe najikubali.kuhusu ofa yako siko arusha kwasasa !
Sawa kwa kuwa uko likizo
Swali: Hebu nipe upeo wa hawa jamaa kwenye picha ya chini hasa anayeuliza swali!
View attachment 70237
 
Dr. Asha rose migiro napenda utendaji wake!
Kwanza nimpongeze Ciello kwa kutwaa umalkia wa chit chat kwa mwezi wa November.
Kura yangu imechangia kufanikisha ushindi huu mnono.

Nina kaswali kadogo tu kwako malkia Ciello, nani ni role model wako kimaisha(katika real life) na kwanini?
 
Last edited by a moderator:
Si kweli isitoshe mie nko kijijini kwasasa!
Swali lanyongeza Mheshimiwa thpika ,nasikia rumaz eti ciello ana mahusiano ya karibu na mheshimiwa zungu na jana wameonekana wakiwa pamoja maeneo ya takakuru upanga? Kama ni kweli who taught who what?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…