Zinduna Talk Show: Exclusive interview na Ciello kuhusu ushindi wake wa Miss chit chat wa jana~~~~!

Vp unapenda kuja kuwa Mama wa aina gani?na je kuna mapungufu gani ya kibinadamu uliyaona kwa Mama yako ambyo we hupendi kuyarudia ukiwa Mama?una mambo gani ya kujifunza kutoka kwa Baba yako ambayo ungependa mumeo awe nayo?
Kwa tz:dr asha rose migiro,kwa wenzetu:Condoleezer rice
 
Ciello hujajibu swali siri ha ushindi wako ni kutokana na umaarufu, au mtandai uliokupigia kampeni????
 
Last edited by a moderator:
Napenda kuja kuwa mama anayejali na kuwa karibu na familia hasa watoto.mama yangu alikuwa mwanamke mkali sikulipenda hilo na kwahilo nimefanikiwa kuwa tofauti,binafsi sipendi ukali na kupiga watoto.Napenda mwanaume mwaminifu kwani nimekuzwa katika mazingira hayo ingawa sidhan kama baba alikuwa mwaminifu.
Vp unapenda kuja kuwa Mama wa aina gani?na je kuna mapungufu gani ya kibinadamu uliyaona kwa Mama yako ambyo we hupendi kuyarudia ukiwa Mama?una mambo gani ya kujifunza kutoka kwa Baba yako ambayo ungependa mumeo awe nayo?
 
Si bule hapa Erick B 52 kuna kitu ana kitafuta yani kaganda kwenye huu uzi hata chai hajanywa!
 
Si bule hapa Erick B 52 kuna kitu ana kitafuta yani kaganda kwenye huu uzi hata chai hajanywa!
Hahahaa Ruttashobolwa umeamka?
Dah siunajua mi na mamiss damudamu? We baki na wamama wako mi niko na under 18 wangu kwa raha zangu
 
Last edited by a moderator:
cielo tangu uje ushawahi kumwona binti anayeitwa Amyner ?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…