Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Teh teh teh teh teh!
Halooooo....
Ye alivokuwa ananiuliza,alitegemea nini?
Afu alikuwa kanywea maskini ya Mungu.
Sijui alikuwa anataka nini.
Babu DC Nisaidie kumuuliza Erickb52.

Achana naye....kama huwezi kumpa tiba mwache tu,

Experience is the best teacher.....

Akishakua atajua tofauti ya picha zinazotembea na zile za mndato..ingawa zote zinaitwa picha!!

Babu DC!!
 
Achana naye....kama huwezi kumpa tiba mwache tu,

Experience is the best teacher.....

Akishakua atajua tofauti ya picha zinazotembea na zile za mndato..ingawa zote zinaitwa picha!!

Babu DC!!

Hahahahaha....
Uwiiii
nafwa...
 
Sijambo,shikamoo.

Hahahahhahahahahhahahah,

Hapa ndipo utakapotofautisha mtoto wa Mwahako, Makorora, Kwa Minchi, Mbagala, Kiwalani na yule aliyetoka kule kwetu Unyantunzu au Katavi!!

Babu DC!!
 
Hahahahaha....
Uwiiii
nafwa...

Hivi wewe Madame B, hunaga mahali pa kucheka, kulia au kushangaa?

Sasa hapo kimekuua nini? Ukizingatia babu mwenyewe ni nyuki wa bucha...a.k.a retired?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la nyuki wa bucha huwezi jua kashiba lini na ana njaa lini. Nimesema tu kwa tahadhari babu.

Sasa kama hawezi kung'ata, wasi wasi wa nini??

Au mie ndo nashindwa kusoma alama za nyakati?

Babu DC!!
 
Kwa haraka haraka nimeshatoka Church kama nilivyokwisha tangulia kusema na kwa muda huu ningependa ningemwona Erickb52 kama yupo on line ndiyo niweze kumwuliza swali langu!

Erickb52 upo tayari kwa maswali mawili matatu??
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 na Dark City akiwa shahidi naondoka jukwaa hili kwa muda huu kwa kuwa haya ya kupotea ghafla haijanipendeza hata kidogo!

Ntarudi soon!
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 Una bahati sana kwa kunikimbia majira lengwa jukwaani maana leo ungebloo kama majibu yako yasingeniridhisha!! Kwani nimepata hofu sana na maswali yako! Una bahati sana ila nikutega kwingine tu!

Sawa...

Swali la 3:
Je Ulifahamuje kuhusu tendo la kujamiiana? Yaani ni nani alikufundisha kwamba hiyo kitu downthere ina matumizi mengine mbali na yale ya kutabawali (Kujisaidia)?
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 Una bahati sana kwa kunikimbia majira lengwa jukwaani maana leo ungebloo kama majibu yako kwa Madame B yasingeniridhisha!! Kwani nimepata hofu sana na maswali yako! Una bahati sana ila nikutega kwingine tu!

Sawa...

Swali la 3:
Je Ulifahamuje kuhusu tendo la kujamiiana? Yaani ni nani alikufundisha kwamba hiyo kitu downthere ina matumizi mengine mbali na yale ya kutabawali (Kujisaidia)?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu! Cjakutenga hata kidogo! Ni mambo yameingiliana hapa katikati nikashindwa kukuseach Dark City na hata Erickb52 amekulizia nikamwambia utakuwa umeshang'atuka kitambo! Bila shaka kama nitapata chanzi nitakutafuta popote uwepo!

Bado nipo kaka LiverpoolFC,

Ila naona umenitenga mkuu wangu....

Ngoja niombe hifadhi kwa mama wa nyumba, Blaki Womani, kwa ruhusa ya M/Kiti PakaJimmy,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahhahahahahhahahah,

Hapa ndipo utakapotofautisha mtoto wa Mwahako, Makorora, Kwa Minchi, Mbagala, Kiwalani na yule aliyetoka kule kwetu Unyantunzu au Katavi!!

Babu DC!!

Babu asa mbona unancheka wangu.
 
Hivi wewe Madame B, hunaga mahali pa kucheka, kulia au kushangaa?

Sasa hapo kimekuua nini? Ukizingatia babu mwenyewe ni nyuki wa bucha...a.k.a retired?

Babu DC!!

Afu babu,
umeshaenda kugigida Ulabu na Erickb52?
Naona mpaka muda huu wachungulia tu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…