Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Teh teh teh teh teh!
Halooooo....
Ye alivokuwa ananiuliza,alitegemea nini?
Afu alikuwa kanywea maskini ya Mungu.
Sijui alikuwa anataka nini.
Babu DC Nisaidie kumuuliza Erickb52.
Achana naye....kama huwezi kumpa tiba mwache tu,
Experience is the best teacher.....
Akishakua atajua tofauti ya picha zinazotembea na zile za mndato..ingawa zote zinaitwa picha!!
Babu DC!!