Zinduna Talk Show: Leo mjengoni yupo Madame B, na Host wenu ni ErickB52

Tukio lililonihuzunisha ni pale nilipofiwa na mama yangu mzazi mwaka 2008,na kubaki na baba.
Na mwaka huu 2012 tena baba yangu mzazi ambae alibaki na sisi nae amefariki.
Kwa kweli haya matukio sitaweza kuyasahau mpaka naingia kaburini.
Pole sana Madame B Mungu atakutia nguvu daima! Im real sorry!

Swali la 17:

Je unapenda kuvaa mavazi ya aina gani hasa ukizingatia huko nyuma ndio hivyo tena mlindimo Trans?
 
Last edited by a moderator:

Aisee!

Pole sana mpendwa.

Mungu aendelee kukupa moyo wa uvumilivu wakati tukiendelea kumuomba awapumzishe kwa amani wazazi wetu.

Raha ya Milele Uwape Ee Bwana, Na mwanga wa milele uwaangazie. Wapumzike kwa amani.
Amina.
 
Pole sana Madame B Mungu atakutia nguvu daima! Im real sorry!

Swali la 17:

Je unapenda kuvaa mavazi ya aina gani hasa ukizingatia huko nyuma ndio hivyo tena mlindimo Trans?

Asante sana.
Mimi napendelea kuvaa magauni ya mpira au viguo vifupi pamoja na skintight.
Si unajua mguu upo?
Hahahaha...
Japo akina Asprin wanatuchokoza huko mitaani lakini twakomaa nao kiubishi.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana.
Mimi napendelea kuvaa magauni ya mpira au viguo vifupi pamoja na skintight.
Si unajua mguu upo?
Hahahaha...
Japo akina Asprin wanatuchokoza huko mitaani lakini twakomaa nao kiubishi.
Hahahaaa haya mama! Huyo babu achana nae hana jipya anataka akakukague eti hujakaguliwa....!

Swali la 18:

Je ni mwana JF gani unavutiwa na post zake, yaani ukiona jina lake tu kama ame-post thread unashawishika kuifungua ili kujua kilichomo?

N.B
Ole wako usinitaje...show inaisha ghafla!
 
Dah!
Swali la mtego,na naomba huo mtego nisiufyatue.
Wote napenda post zenu,hasa wewe na babu,Archuga,mwanafnz wangu,DaAsha,mashost zangu,wapambe wangu,mpenzi Chimbuvu,Chilli,tedo,mamodereta,Rutta wangu na memberz woote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…