Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
kumbe babu unapenda matumizi ya KY Jelly enheee...
Mkuu ni dhambi kumnukuu vibaya mtumishi wa Mungu.
Tubu na fuata injili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe babu unapenda matumizi ya KY Jelly enheee...
Ukimwi nilipima mwaka jana mwezi 9,sijaenda mpaka leo.
Na niliamua tu mwenyewe.
Pole sana Madame B Mungu atakutia nguvu daima! Im real sorry!Tukio lililonihuzunisha ni pale nilipofiwa na mama yangu mzazi mwaka 2008,na kubaki na baba.
Na mwaka huu 2012 tena baba yangu mzazi ambae alibaki na sisi nae amefariki.
Kwa kweli haya matukio sitaweza kuyasahau mpaka naingia kaburini.
Mkuu ni dhambi kumnukuu vibaya mtumishi wa Mungu.
Tubu na fuata injili.
Tukio lililonihuzunisha ni pale nilipofiwa na mama yangu mzazi mwaka 2008,na kubaki na baba.
Na mwaka huu 2012 tena baba yangu mzazi ambae alibaki na sisi nae amefariki.
Kwa kweli haya matukio sitaweza kuyasahau mpaka naingia kaburini.
Aisee!
Pole sana mpendwa.
Mungu aendelee kukupa moyo wa uvumilivu wakati tukiendelea kumuomba awapumzishe kwa amani wazazi wetu.
Raha ya Milele Uwape Ee Bwana, Na mwanga wa milele uwaangazie. Wapumzike kwa amani.
Amina.

kwani hujui kuwa KY Jelly husaidia kulaini kule downtown hasa kwa bibi yetu maana umri umeenda bwana au bado unatumia makohozi..
Pole sana Madame B Mungu atakutia nguvu daima! Im real sorry!
Swali la 17:
Je unapenda kuvaa mavazi ya aina gani hasa ukizingatia huko nyuma ndio hivyo tena mlindimo Trans?
we nawe humalizi tu!? Maswali yetu yatayeyuka!
Bibi yupi sasa? Nnao wanne na wote vigori vya haja.
Asante sana.
Mimi napendelea kuvaa magauni ya mpira au viguo vifupi pamoja na skintight.
Si unajua mguu upo?
Hahahaha...
Japo akina Asprin wanatuchokoza huko mitaani lakini twakomaa nao kiubishi.
Hahahaaa haya mama! Huyo babu achana nae hana jipya anataka akakukague eti hujakaguliwa....!Asante sana.
Mimi napendelea kuvaa magauni ya mpira au viguo vifupi pamoja na skintight.
Si unajua mguu upo?
Hahahaha...
Japo akina Asprin wanatuchokoza huko mitaani lakini twakomaa nao kiubishi.
????????????........
Hahahaaa haya mama! Huyo babu achana nae hana jipya anataka akakukague eti hujakaguliwa....!
Swali la 18:
Je ni mwana JF gani unavutiwa na post zake, yaani ukiona jina lake tu kama ame-post thread unashawishika kuifungua ili kujua kilichomo?
N.B
Ole wako usinitaje...show inaisha ghafla!