Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo panatosha!Dah!
Swali la mtego,na naomba huo mtego nisiufyatue.
Wote napenda post zenu,hasa wewe na babu,Archuga,mwanafnz wangu,DaAsha,mashost zangu,wapambe wangu,mpenzi Chimbuvu,Chilli,tedo,mamodereta,Rutta wangu na memberz woote.
Dah!

Ngoja kipindi kiishe,utantambua.
Tukio lililonihuzunisha ni pale nilipofiwa na mama yangu mzazi mwaka 2008,na kubaki na baba.
Na mwaka huu 2012 tena baba yangu mzazi ambae alibaki na sisi nae amefariki.
Kwa kweli haya matukio sitaweza kuyasahau mpaka naingia kaburini.
Dah!
Swali la mtego,na naomba huo mtego nisiufyatue.
Wote napenda post zenu,hasa wewe na babu,Archuga,mwanafnz wangu,DaAsha,mashost zangu,wapambe wangu,mpenzi Chimbuvu,Chilli,tedo,mamodereta,Rutta wangu na memberz woote.
Zinduna naona babu anahamu ya maswali sasa naomba kukupa shukrani zangu za pekee kwa kuwa bega kwa bega na mimi katika kufanikisha show hii!
Pole sana Madame B.
Ngoja kipindi kiishe,utantambua.
Yaani umesahau hata kunitaja mimi? LOL
Tobaaa...
Hakuna POO?
Heheheheeee hapo chacha!