basi mi niwe host King'asti! af huu mtindo wa kunizibia rizki hivi umeanzia wapi!mi na we hatujakutana barabarani ujue!
lakini najua tu kwenye zali za nyumba dogo za yule mdingi wako mi ndo unaniona wa mana! sasa subiri kwani anachelewaga basi!sasa hvi ataharibu naona amepoa poa sana na visamsing vyake!
Aaah, wewe hukawii kumdunda mgeni na stuli studio, mkatuvunjia mike na headphones. Tena ntamuomba Paw kisweet akuweke jela hadi mgeni atoke studio. Haya yote kwa mapenzi makuu nafanya manake.hatujakutana barabarani. Siku ukigombea ubunge wa jf tusijepata kashfa buree. Muaah!
Naomba mie niwe mgeni wa heshima mke mwenza King'asti, nipigie debe kwa Zinduna!Aaah, wewe hukawii kumdunda mgeni na stuli studio, mkatuvunjia mike na headphones. Tena ntamuomba Paw kisweet akuweke jela hadi mgeni atoke studio. Haya yote kwa mapenzi makuu nafanya manake.hatujakutana barabarani. Siku ukigombea ubunge wa jf tusijepata kashfa buree. Muaah!