Zinedine Yazid Zidane

Zinedine Yazid Zidane

Ninachojua Zinedine Yazid Zidane hawezi kujadilika na Binadamu ila anaweza tu kujadilika na Malaika wa Mbinguni na Mwenyezi Mungu pekee kutokana kwamba si Binadamu wa kawaida hasa kwa Kipaji cha ajabu alichokuwa nacho.
Hahahaha...Gentamycn katika ubora wako
 
Lakin huyu jamaa ametoka mbali mpaka akachukua uefa angalia alicheza natim gan kama sii kocha mzur asingeweza kupenya mpaka kufika fainal halafu achukue ndoo kiukwel wale makocha wote wataalam kufika fainal sio mchezo jaman halafu unachua ndoo tena bao tatu zisizokua nashaka huyu jamaa kocha aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnamchukulia poa anamnyoosha mbwatukaji mida hii huko Macedonia
 
Mie naamin ni bonge la kocha sababu hata enzi ya uchezaji wake alikuwa anawaongoza wenzie vzur 2006 ujeruman ktk world cup ni kama vile raymond hakuwa na kazi zidane alifanya mengi uwanjan kimbinu na mfumo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom