Zinedine Zidane ang’atuka Real Madrid kwa mara ya pili

tc_edo

Senior Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
123
Reaction score
98
Kocha wa Los Blancos (Real Madrid) ameamua kuachana na timu hiyo rasmi baada ya kuwa na tetesi za muda mrefu. Klabu ya Real Madrid itatoa taarifa rasmi kuhusu kuondoka kwa Zidane.

Zidane msimu huu katoka kapa katika michuano yote aliyoshiriki. Hii ni mara ya pili kocha huyo anaondoka real madrid.

 
Huyu atarudi tena, ngoja apumzike kidogo!
 
It's official, klabu ya Real Madrid imeachana na Kocha Zinedine Zidane. Goodluck Zizou
 
Huyu fala alikuwa anatuchelewesha tu, binafsi sijawahi kumkubali na huwa naona bahati inambeba zaidi kuliko uwezo wake wa kufundisha pengine ndomaana wanapotajwa makocha bora ni nadra sana kumkumbuka.
 
Ronaldo alimbeba sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Alikua na kikosi bora na chenye hurka ya mafanikio na wakiwa bado umri haujaenda sana... So sie ronado tu aliembeba bali team nzima na piabmbinu zake zilimsaidia so hakubebwa moja kwa moja
 
Haijachukua muda
Real Madrid wamtangaza Carlo Ancelotti kuwa kocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…