BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
- Thread starter
- #101
usitokwe povu kama unakufa ..tulia kaangalie upya hamna haja ya kupata blood pressure kwa habari hii hahahaKuna ukweli hapa. Hii habari itakuwa ya uongo. Nimeitafuta kwenye vyombo vikubwa vya habari sijaiona. Nimeenda bbc sports. Hamna kitu. Tumeingizwa chaka.Kweli hii taarifa kweli tumepigwa changa la macho na mleta mada. Na tulivyokuwa mabwege hata source ya habari hamna tunachangia tu kama mazuzu.