Zinedine Zidane kala shavu Qatar

usitokwe povu kama unakufa ..tulia kaangalie upya hamna haja ya kupata blood pressure kwa habari hii hahaha
 
Uzuri wa Waarabu wanajua kutumia Resources zao..hiyo pesa ndogo sana kwao.Njoo sasa kwa sisi tuliozungushia ukuta kule Tanzanite..napita tu
 
Nawaza tu,hivi hana watoto wakubwa wa kike..??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha!!. ndo yale yale unatoka zako kwenye mishe mishe za hapa na pale.gafla unakutana na baby baby mlangoni kakunja ndita utadhan kalishwa ndimu unauliza tatizo nn '"anajb" mwenzako kwa siku anaingiza mamilion., haya we mwanzang na mie leo umeingiza shi ngap.unabaki kuduwaaa tu!! hahahaha!! omba yasikukute mtu wang..
 
haha duuh. ..basi ngoja niseme Algerian arabic au kiberber hizo ndo native language

Ukisema anaongea kiarabu utakuwa sahihi..ila sio kiAlgeria hapo utakuwa umekosea. Alafu nikukumbushe tu kiarabu ndiyo lugha itakayotumika KABURINI. tutaulizwa kupitia lugha ya kiarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…