Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
anaesema mpira wa sasa mgumu aangalie hizi foul za wakati wa peleNi mtazamo tu. Enzi hizo za akina Pele filimbi za faul zilikuwa chache. Siku hizi hao washambuliaji wenu wanalindwa kama mayai.
Bila kumsahau Eric Cantona japo hakuwa akichaguliwa kuchezea timu yao ya Taifa kwa ugomvi na kocha
wake
hahahaaa baelezeeeee
Acha maneno mengi apeleke kombe la Dunia ArgentinaChuki zingine bwana,,,Messi anawanyima usingizi nyie watu πππ hao mnaowatajataja wanamjua la pulga ni nani!
Messi angekuwa mlemavu tayari angecheza enzi hizoNi mtazamo tu. Enzi hizo za akina Pele filimbi za faul zilikuwa chache. Siku hizi hao washambuliaji wenu wanalindwa kama mayai.
Acha akina Pele wapewe heshima zao mtu anapigwa kwanja tatu hamna filimbi,siku hizo kwanja zote ni red cardanaesema mpira wa sasa mgumu aangalie hizi foul za wakati wa pele