Zingatia haya kununua kiwanja ili kupunguza utapeli

Bexb

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
715
Reaction score
1,619
Habari ya jumapili wakuu, baada ya kutoka kanisani acha nifanye utume kidogo kukumbushana haya machache ili kupunguza vilio na hasara.

Ninaamini kabisa kuwa utapeli katika masuala anuwai upo lakini kuna namna huwa watu tunaweza kuchukua tahadhari na kupunguza visa vya kutapeliwa linapokuja suala la kununua ardhi hasa hasa mijini.

KWA VIWANJA VILIVYOPIMWA:
🔥Baada ya kuwa umeoneshwa kiwanja husika na mmekubaliana bei, hakikisha kuwa unampa wakili kazi ya kusimamia mauzo hayo maana ni lazma atafanya search katika mamlaka husika kujua mmiliki halali ama kama kuna attachment yoyote juu ya kiwanja husika

🔥 Hakikisha unajua marital status ya muuza kiwanja, kama atakwambia wameachana hakikisha anakuonesha hati ya talaka ama ya kutengana iliyotolewa na MAHAKAMA na sio vinginevyo.

🔥 Endapo ametengana kienyeji na mwenza wake hakikisha huyo mwenza anajaza fomu maalumu (spousal consent) ya kuridhia mauzo ya kiwanja husika yaani hata kama wamenuniana hakikisha mwenza amejaza hiyo form yeye mwenyewe.

🔥 Kama kutakua na wasiwasi wowote wa vipimo vya kiwanja husika vile vya kwenye nyaraka na uhalisia hakikisha mnaitumia mamlaka ya ardhi eneo husika kisha kuwakutanisha na majirani wako ili kuweka sawa suala hilo.

KWA VIWANJA/MAENEO AMBAYO HAYAJAPIMWA:

🔥Hakikisha kuwa unawapata watu wote wa pande zote ambazo eneo hilo mnapakana na wakuoneshe na mkubaliane wote mipaka halisi ya eneo unalotaka kununua na hawa ndio watakua mashuhuda wa mjataba wako.

🔥Hakikisha vipimo halisi vya eneo husika viwe katika vipimo vya vizio vinavyoeleweka,aACHANA NA VIPIMO VYA HATUA ZA MIGUU maana huwa vinakosa uhalisia, badala yake nunua 'futi kamba yako' inauzwa kwa elfu 10 tu nenda nayo site na UCHUKUE VIPIMO KWA META kwani vina uhalisia zaidi.

🔥Hakikisha mauziano hayo yanasimamiwa na wakili ambaye atakuongoza katika kufanya search na taratibu sahihi.

🔥Hakikisha mwenza wa anayekuuzia eneo husika anajaza form maalumu ya kuridhia mauzo hayo na kama wameachana hakikisha unapata nyaraka ya mahakama kuthibitisha hili.

🔥Hakikisha kiasi halisi cha fedha ulicholipa ndicho kinaandikwa katika mkataba wenu, usishawishiwe na yeyote kuwa muandike kiasi cha chini ili kukwepa baadhi ya ada katika mamlaka zinazohusika hili lina madhara makubwa sana.

KWA MAENEO YA UKOO/FAMILIA/URITHI.
Hapa ndio kuna kivumbi na wanunuzi hupoteza sana pesa hapa.

Kuna wakati ambapo mzazi/mmiliki wa eneo akifariki basi familia haifungui mirathi mahakamani bali hukaa kikao na kuamua kutoiuza ardhi/nyumba husika lakini wakagawanya vyumba ama hisa katika nyumba husika mfano, huweza kugawana vyumba hivyo kila mmoja akawa na mpangaji wake ama wakaipangisha kisha kila kodi ikitolewa basi wanagawana.

Sasa endapo unataka kununua ardhi ya mazingira ya namna hii unatakiwa kuwa makini sanaaa na endapo nyumba ni ya familia hakikisha kuwa wale wanafamilia woooote yaani namaanisha WOTE sio wengi hapana, nasema WANAFAMILIA WOTE wahaohusika na ardhi ama nyumba husika ndipo muweze kuendelea na mauzo.

Hii ni kwa sababu endapo ikatokea mmoja ama sehemu ya wanahisa wa hiyo ardhi ya familia hakuridhia basi utakua umepigwaaa ama utakua hatarini kupoteza pesa yako (rejea kilichomkuta S. H. Amon hapo Kariakoo)
Iwapo nyumba inamilikiwa na Ukoo yaani vizazi hata viwili ama vitatu yaani nyumba alikua anamiliki babu yangu ambaye alikua na watoto nane na wote hao walikua na familia, wakafariki 4 na watoto wa babu wakazaa tukatokea sisi na baadhi yetu tumeshafariki lakini tumeacha watoto wetu ambao wana haki kupitia baba na babu zao aisee mimi NINAKUSHAURU USINUNUE ARDHI HIYO hakikisha kabla ya kununua au kulipia hata sh mia unawasiliana na wakili wako.
MUHIMU.

HAKIKISHA KIASI CHA FEDHA KILICHOLIPWA NDICHO KINAANDIKWA KATIKA MKATABA WENU, HAKIKISHA HAKIKISHA

Kiukweli wakuu ukitapeliwa kwenye kiwanja kilichopimwa ni lazma wewe mnunuzi kuna mahali ulizembea kwenye utaratibu mzima wa manunuzi maana kwa upande wa hivi viwanja vilivyopimwa utaratibu upo wazi sana.
Nilichogundua ni kuwa wengi wana mazoea na kukalili taratibu za kizamani zisizotambuliwa kisheria yaani mtu anaona anaumia kutoa 2M kwa wakili asimamie mchakato mzima wa mauziano ya 50M anamuamini dalali ambaye atalipwa 10% na mtedaji/mwenyekiti halafu anatoa hela😂😂😂😂😂😂

HAKIKISHENI MNAFUATA MIONGOZO YA WANASHERIA KUPUNGUZA KUTAPELIWA

0755963775 calls/WhatsApp
 
Moderator aliyepo online naomba anisaidie kuhariri kichwa kisomeke "ZINGATIA HAYA UNAPOTAKA KUNUNUA KIWANJA ILI KUPUNGUZA UTAPELI"
Asante.
 
Unanunua kiwanja Cha 1M wakili anataka laki nane pamoja na nauli za hapa na pale inafikia 1.5M Bora tu kucheza kamali ukiibiwa uibiwe tu
Best option ni kununua kupitia registered real estate companies japo bei zao zimechangamka ila atleast unakua na suppprtive documents
Ukinunua watakupa Mkataba wa mauziano na kuna kampuni zinazotoa hadi hati miliki kutoka wizara ya Ardhi Means viwanja vyao vimepimwa , Vimewekwa beacons na vimekua approved by surveyors

Watanzania tuamke tuache kufanya mambo kienyeji haya mambo yakuishia kwa mwenyekiti wa mtaa yamewagharimu sana watu
 
Kweli kabisa mwamba
 
Safi [emoji1479].
 
Habari ya jumapili wakuu, baada ya kutoka kanisani acha nifanye utume kidogo kukumbushana haya machache ili kupunguza vilio na hasara.

Ninaamini kabisa kuwa utapeli katika masuala anuwai upo lakini kuna namna huwa watu tunaweza kuchukua tahadhari na kupunguza visa vya kutapeliwa linapokuja suala la kununua ardhi hasa hasa mijini.

KWA VIWANJA VILIVYOPIMWA:
[emoji91]Baada ya kuwa umeoneshwa kiwanja husika na mmekubaliana bei, hakikisha kuwa unampa wakili kazi ya kusimamia mauzo hayo maana ni lazma atafanya search katika mamlaka husika kujua mmiliki halali ama kama kuna attachment yoyote juu ya kiwanja husika

[emoji91] Hakikisha unajua marital status ya muuza kiwanja, kama atakwambia wameachana hakikisha anakuonesha hati ya talaka ama ya kutengana iliyotolewa na MAHAKAMA na sio vinginevyo.

[emoji91] Endapo ametengana kienyeji na mwenza wake hakikisha huyo mwenza anajaza fomu maalumu (spousal consent) ya kuridhia mauzo ya kiwanja husika yaani hata kama wamenuniana hakikisha mwenza amejaza hiyo form yeye mwenyewe.

[emoji91] Kama kutakua na wasiwasi wowote wa vipimo vya kiwanja husika vile vya kwenye nyaraka na uhalisia hakikisha mnaitumia mamlaka ya ardhi eneo husika kisha kuwakutanisha na majirani wako ili kuweka sawa suala hilo.

KWA VIWANJA/MAENEO AMBAYO HAYAJAPIMWA:

[emoji91]Hakikisha kuwa unawapata watu wote wa pande zote ambazo eneo hilo mnapakana na wakuoneshe na mkubaliane wote mipaka halisi ya eneo unalotaka kununua na hawa ndio watakua mashuhuda wa mjataba wako.

[emoji91]Hakikisha vipimo halisi vya eneo husika viwe katika vipimo vya vizio vinavyoeleweka,aACHANA NA VIPIMO VYA HATUA ZA MIGUU maana huwa vinakosa uhalisia, badala yake nunua 'futi kamba yako' inauzwa kwa elfu 10 tu nenda nayo site na UCHUKUE VIPIMO KWA META kwani vina uhalisia zaidi.

[emoji91]Hakikisha mauziano hayo yanasimamiwa na wakili ambaye atakuongoza katika kufanya search na taratibu sahihi.

[emoji91]Hakikisha mwenza wa anayekuuzia eneo husika anajaza form maalumu ya kuridhia mauzo hayo na kama wameachana hakikisha unapata nyaraka ya mahakama kuthibitisha hili.

[emoji91]Hakikisha kiasi halisi cha fedha ulicholipa ndicho kinaandikwa katika mkataba wenu, usishawishiwe na yeyote kuwa muandike kiasi cha chini ili kukwepa baadhi ya ada katika mamlaka zinazohusika hili lina madhara makubwa sana.

KWA MAENEO YA UKOO/FAMILIA/URITHI.
Hapa ndio kuna kivumbi na wanunuzi hupoteza sana pesa hapa.

Kuna wakati ambapo mzazi/mmiliki wa eneo akifariki basi familia haifungui mirathi mahakamani bali hukaa kikao na kuamua kutoiuza ardhi/nyumba husika lakini wakagawanya vyumba ama hisa katika nyumba husika mfano, huweza kugawana vyumba hivyo kila mmoja akawa na mpangaji wake ama wakaipangisha kisha kila kodi ikitolewa basi wanagawana.

Sasa endapo unataka kununua ardhi ya mazingira ya namna hii unatakiwa kuwa makini sanaaa na endapo nyumba ni ya familia hakikisha kuwa wale wanafamilia woooote yaani namaanisha WOTE sio wengi hapana, nasema WANAFAMILIA WOTE wahaohusika na ardhi ama nyumba husika ndipo muweze kuendelea na mauzo.

Hii ni kwa sababu endapo ikatokea mmoja ama sehemu ya wanahisa wa hiyo ardhi ya familia hakuridhia basi utakua umepigwaaa ama utakua hatarini kupoteza pesa yako (rejea kilichomkuta S. H. Amon hapo Kariakoo)
Iwapo nyumba inamilikiwa na Ukoo yaani vizazi hata viwili ama vitatu yaani nyumba alikua anamiliki babu yangu ambaye alikua na watoto nane na wote hao walikua na familia, wakafariki 4 na watoto wa babu wakazaa tukatokea sisi na baadhi yetu tumeshafariki lakini tumeacha watoto wetu ambao wana haki kupitia baba na babu zao aisee mimi NINAKUSHAURU USINUNUE ARDHI HIYO hakikisha kabla ya kununua au kulipia hata sh mia unawasiliana na wakili wako.
MUHIMU.

HAKIKISHA KIASI CHA FEDHA KILICHOLIPWA NDICHO KINAANDIKWA KATIKA MKATABA WENU, HAKIKISHA HAKIKISHA

Kiukweli wakuu ukitapeliwa kwenye kiwanja kilichopimwa ni lazma wewe mnunuzi kuna mahali ulizembea kwenye utaratibu mzima wa manunuzi maana kwa upande wa hivi viwanja vilivyopimwa utaratibu upo wazi sana.
Nilichogundua ni kuwa wengi wana mazoea na kukalili taratibu za kizamani zisizotambuliwa kisheria yaani mtu anaona anaumia kutoa 2M kwa wakili asimamie mchakato mzima wa mauziano ya 50M anamuamini dalali ambaye atalipwa 10% na mtedaji/mwenyekiti halafu anatoa hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

HAKIKISHENI MNAFUATA MIONGOZO YA WANASHERIA KUPUNGUZA KUTAPELIWA

0755963775 calls/WhatsApp
Biashara ni Matangazo,,
Tunashukuru kwa kidogo
 
Biashara ni Matangazo,,
Tunashukuru kwa kidogo
Mkuu, endapo itatokea mwanaJF humu akaleta ushahidi kuwa nimewahi kumcharge hela katika kumpa huduma ya ushauri wa kisheria ama masuala anuai ambayo ninayafahamu vizuri na nimewahi kuyaandikia threads humu, NITAMLIPA MARA KUMI YEYE PAMOJA NA WEWE.
Sio hekima kuwaza kuwa kila mmoja anafanya biashara, unajua hili andiko limesaidia wangapi? Unajua ni wangapi wamenifuata inbox na kushukuru na kuomba mwongozo zaidi kwa waliyofanya?
 
Habari ya jumapili wakuu, baada ya kutoka kanisani acha nifanye utume kidogo kukumbushana haya machache ili kupunguza vilio na hasara.

Ninaamini kabisa kuwa utapeli katika masuala anuwai upo lakini kuna namna huwa watu tunaweza kuchukua tahadhari na kupunguza visa vya kutapeliwa linapokuja suala la kununua ardhi hasa hasa mijini.

KWA VIWANJA VILIVYOPIMWA:
🔥Baada ya kuwa umeoneshwa kiwanja husika na mmekubaliana bei, hakikisha kuwa unampa wakili kazi ya kusimamia mauzo hayo maana ni lazma atafanya search katika mamlaka husika kujua mmiliki halali ama kama kuna attachment yoyote juu ya kiwanja husika

🔥 Hakikisha unajua marital status ya muuza kiwanja, kama atakwambia wameachana hakikisha anakuonesha hati ya talaka ama ya kutengana iliyotolewa na MAHAKAMA na sio vinginevyo.

🔥 Endapo ametengana kienyeji na mwenza wake hakikisha huyo mwenza anajaza fomu maalumu (spousal consent) ya kuridhia mauzo ya kiwanja husika yaani hata kama wamenuniana hakikisha mwenza amejaza hiyo form yeye mwenyewe.

🔥 Kama kutakua na wasiwasi wowote wa vipimo vya kiwanja husika vile vya kwenye nyaraka na uhalisia hakikisha mnaitumia mamlaka ya ardhi eneo husika kisha kuwakutanisha na majirani wako ili kuweka sawa suala hilo.

KWA VIWANJA/MAENEO AMBAYO HAYAJAPIMWA:

🔥Hakikisha kuwa unawapata watu wote wa pande zote ambazo eneo hilo mnapakana na wakuoneshe na mkubaliane wote mipaka halisi ya eneo unalotaka kununua na hawa ndio watakua mashuhuda wa mjataba wako.

🔥Hakikisha vipimo halisi vya eneo husika viwe katika vipimo vya vizio vinavyoeleweka,aACHANA NA VIPIMO VYA HATUA ZA MIGUU maana huwa vinakosa uhalisia, badala yake nunua 'futi kamba yako' inauzwa kwa elfu 10 tu nenda nayo site na UCHUKUE VIPIMO KWA META kwani vina uhalisia zaidi.

🔥Hakikisha mauziano hayo yanasimamiwa na wakili ambaye atakuongoza katika kufanya search na taratibu sahihi.

🔥Hakikisha mwenza wa anayekuuzia eneo husika anajaza form maalumu ya kuridhia mauzo hayo na kama wameachana hakikisha unapata nyaraka ya mahakama kuthibitisha hili.

🔥Hakikisha kiasi halisi cha fedha ulicholipa ndicho kinaandikwa katika mkataba wenu, usishawishiwe na yeyote kuwa muandike kiasi cha chini ili kukwepa baadhi ya ada katika mamlaka zinazohusika hili lina madhara makubwa sana.

KWA MAENEO YA UKOO/FAMILIA/URITHI.
Hapa ndio kuna kivumbi na wanunuzi hupoteza sana pesa hapa.

Kuna wakati ambapo mzazi/mmiliki wa eneo akifariki basi familia haifungui mirathi mahakamani bali hukaa kikao na kuamua kutoiuza ardhi/nyumba husika lakini wakagawanya vyumba ama hisa katika nyumba husika mfano, huweza kugawana vyumba hivyo kila mmoja akawa na mpangaji wake ama wakaipangisha kisha kila kodi ikitolewa basi wanagawana.

Sasa endapo unataka kununua ardhi ya mazingira ya namna hii unatakiwa kuwa makini sanaaa na endapo nyumba ni ya familia hakikisha kuwa wale wanafamilia woooote yaani namaanisha WOTE sio wengi hapana, nasema WANAFAMILIA WOTE wahaohusika na ardhi ama nyumba husika ndipo muweze kuendelea na mauzo.

Hii ni kwa sababu endapo ikatokea mmoja ama sehemu ya wanahisa wa hiyo ardhi ya familia hakuridhia basi utakua umepigwaaa ama utakua hatarini kupoteza pesa yako (rejea kilichomkuta S. H. Amon hapo Kariakoo)
Iwapo nyumba inamilikiwa na Ukoo yaani vizazi hata viwili ama vitatu yaani nyumba alikua anamiliki babu yangu ambaye alikua na watoto nane na wote hao walikua na familia, wakafariki 4 na watoto wa babu wakazaa tukatokea sisi na baadhi yetu tumeshafariki lakini tumeacha watoto wetu ambao wana haki kupitia baba na babu zao aisee mimi NINAKUSHAURU USINUNUE ARDHI HIYO hakikisha kabla ya kununua au kulipia hata sh mia unawasiliana na wakili wako.
MUHIMU.

HAKIKISHA KIASI CHA FEDHA KILICHOLIPWA NDICHO KINAANDIKWA KATIKA MKATABA WENU, HAKIKISHA HAKIKISHA

Kiukweli wakuu ukitapeliwa kwenye kiwanja kilichopimwa ni lazma wewe mnunuzi kuna mahali ulizembea kwenye utaratibu mzima wa manunuzi maana kwa upande wa hivi viwanja vilivyopimwa utaratibu upo wazi sana.
Nilichogundua ni kuwa wengi wana mazoea na kukalili taratibu za kizamani zisizotambuliwa kisheria yaani mtu anaona anaumia kutoa 2M kwa wakili asimamie mchakato mzima wa mauziano ya 50M anamuamini dalali ambaye atalipwa 10% na mtedaji/mwenyekiti halafu anatoa hela😂😂😂😂😂😂

HAKIKISHENI MNAFUATA MIONGOZO YA WANASHERIA KUPUNGUZA KUTAPELIWA

0755963775 calls/WhatsApp
Asante sana kwa elimu hii ya manunuzi ya viwanja.
 
Endapo umemtumia mwanasheria na bado ukatapeliwa hapo lawama zinamwendea nani na nini kidanyike?
 
Back
Top Bottom