Zingatia haya mambo 10 katika maisha ( Ten commandments of life )

Zingatia haya mambo 10 katika maisha ( Ten commandments of life )

1. Usimsaidie mtu bila kuombwa msaada.
2. Lazima ujue kuwa adui wako makubwa ni miongoni mwa ndugu yako.
3. Rafiki wa kweli zaidi ni wewe mwenyewe tu.
4. Ukiwa maskini utadharaulika mpaka na watoto wadogo
5. Mtoto mdogo ndiye pekee anayependwa bila sababu. Ukiwa mtu mzima utapendwa kwasababu tu.
6. Usipigane vita isiyokuhusu
7. Fedha hazijatengenezwa kwaajili ya wapumbavu na wajinga.
8. Ukipatwa na tatizo kubwa atakayeumia zaidi ni mama yako mzazi wengine wataumia kwasababu tu au kwa kuigiza.
9. Hakuna jambo la kudumu. Raha , shida, magonjwa, njaa, elimu, cheo, kazi , dhiki vyote ni vitu vya muda mfupi sana. Vitakwenda kunyauka na kusahaulika. Hata wewe utasahaulika.
10. Mungu muumba mbingu na nchi ndiye mwamuzi wa maisha ya kila mtu.
Namba moja imebase kwenye zile Amri 11 Za shetani
 
Back
Top Bottom