Zingatia kanuni hizi za kula ili kuwa na afya bora

azzurre

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
107
Reaction score
96
1. "Usile mpaka uwe na njaa na unapokuwa na njaa, usile mpaka ukashiba sana"
2. " Ligawe tumbo sehemu tatu, unaptaka kula sehemu ya kwanza iwe ya chakula, sehemu ya pili iwe ya maji na sehemu ya tatu iwe ya kuvutia hewa"

Pia epuka kuwa katika kundi la watu ambao watakuwa na afya mbovu na ilio andamana na matatizo mengi ya kiafya kwa kuepuka tabia hizi tatu:
1. Kupanda sana kufanya Sex
2. Kudumu katika ulevi i.e Kulewa kwa kipindi cha muda mrefu
3. Kupenda kula ovyo ovyo i.e kupanda kula kila baada ya muda mdogo
Kama utayazingatia haya hutokuwa na afya mbovu,
 
Yoote nitaweza ila hapo kwenye SEX nona kama pagumu sana aisee.........
 
ndio, ila vile vile zidisha muda wa kuka na njaa kidogo
 
1. "Usile mpaka uwe na njaa na unapokuwa na njaa, usile mpaka ukashiba sana"
2. " Ligawe tumbo sehemu tatu, unaptaka kula sehemu ya kwanza iwe ya chakula, sehemu ya pili iwe ya maji na sehemu ya tatu iwe ya kuvutia hewa"

Pia epuka kuwa katika kundi la watu ambao watakuwa na afya mbovu na ilio andamana na matatizo mengi ya kiafya kwa kuepuka tabia hizi tatu:
1. Kupanda sana kufanya Sex
2. Kudumu katika ulevi i.e Kulewa kwa kipindi cha muda mrefu
3. Kupenda kula ovyo ovyo i.e kupanda kula kila baada ya muda mdogo
Kama utayazingatia haya hutokuwa na afya mbovu,

Good advice!
 
kuzidisha muda wa kukaa kivipi labda kutokula kabisa baadhi ya mida mfano asubuhi?

ndio, kama ulikuwa unakunywa chai saa moja na nusu unaweza ukaipotezea mpaka saa nne, au ukala mara moja au mbil kwa siku
 
Back
Top Bottom