Zingatia Kanuni za kuanza kuoga ili kuepuka vifo vya ghafla bafuni

Zingatia Kanuni za kuanza kuoga ili kuepuka vifo vya ghafla bafuni

Hii niliisikia kitambo kutoka kwa Prof Janabi.

Presha ikiwa juu tayari ndiyo huwa balaa.
 
Waswahili wanasema amekubwa na jini au jinamizi bafuni likamuua.
Kumbe ni mgandamizo wa maji ya baridi na joto la mwili ni sawa na chupa ya moto ya chai uweke maji ya baridi ghafla lazima ipasuke.
Ndivyo misuli Huwa inapasuka ikipata maji ya baridi ghafla.
Maji ya vuguvugu ni salama zaidi kwa kuoga.
Ukioga anzia chini kwenye miguu labda kusugua miguu ukijipa mda mwili uzoee then kiunoni then kifuani kichwan iwe ni hatua ya mwisho then unaweza ukaendelea
Dah!...shukrani kwa elimu
 
Kwaiyo na wale wanaoenda kuogelea inatakiwa waanze na miguu..
Wale ndugu zetu vijijini kule wananyeshewa na mvua wakiwa shambani inabidi wawe wanageuka miguu kwanza
Miguu ndio Huwa inaanza kukanyaga maji huku unasogea kina kirefu.
Mvua Huwa inaanza mdogo mdogo kukulowesha.
Hapa inazungumziwa kujimwagia maji ya ghafla kichwan
 
Alhamdulillah Kwa islam.
Islam inafundisha kuoga hivi.
Baada ya Nia moyoni Kisha tia udhu kama kawaida
Kama Lengo la kuoga ni kuondosha najisi basi safisha vizuri maeneo Yako ya Siri.
Kisha Anza kichwani halafu Osha upande wako wa kulia vizuri Kisha maliza na upande wa kushoto.
Hekima hapa ni kuwa moyo wa binadamu upo upande wa kushoto na kama utanza kuoga baada ya udhu na kufuatisha upande wa kulia ,basi mwili warmup na utaadapt Hali hiyo ya ubaridi hata kama unaoga na maji ya barafu hutopata madhara Bali faida.
Hao wataalamu wanachakujifunza kutoka ktk Islam.
 
Aisyesikia la Huyu Mkuu Avunjike Guu..

Anza kubadili joto kuanzia Miguuni halafu uendelee kuelekea kichwani..


Hujaambiwa uanze sabuni mguuni kwenda kichwani..


Andaa Maji ya kutosha Kuoga.
 
IMG_6019.jpg

IMG_6016.jpg
 
Back
Top Bottom