Zingatia sana kama taa za Dashboard zinawaka kabla ya kuwasha gari lako

Zingatia sana kama taa za Dashboard zinawaka kabla ya kuwasha gari lako

Wadau, kwanini Oil Pressure Light inakuwa on kwa dakika 2 hadi 3 wakati wa kuwasha gari hasa gari inapokuwa imezimwa kwa zaidi ya masaa matatu na kuendelea?
 
Wadau, kwanini Oil Pressure Light inakuwa on kwa dakika 2 hadi 3 wakati wa kuwasha gari hasa gari inapokuwa imezimwa kwa zaidi ya masaa matatu na kuendelea?
Yawezekana oil pump inakaribia kufa

Yawezekana oil pressure sensor inaelekea kufa ..

Yawezekana oil yako imepungua sana na imechoka sana..

Yawezekana oil filter ni zile za bei rahisi na imeakuwa clogged
 
Wadau taa ya ABS inawaka muda wote nimeenda kwa fundi amekagua kila kitu anasema gari haina tatizo lolote

Kama alitumia Diagnostic machine, Je machine yake ipo compliant kusoma cpdd za ABS.

Maana nje ya hapo mtu atakupimia akuambie hakuna shida wakati shida ipo.

The same thing watu wanapimiwa gearbox zao na mashine ambazo hazipo compliant kusoma code za gearbox na kwasababu haijaonesha code yoyote basi anaambiwa hakuna shida. Kitu ambacho siyo sawa.
 
Back
Top Bottom