Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Hapana, [emoji28][emoji13][emoji13]Sio mng'ato huyo kweli!
Kwanini unakurupuka husomi halafu unaanza kupost humu.Mbona ameweka hapo juu.Ungeweka na picha za hizo taa hapo dashboardini
Yawezekana oil pump inakaribia kufaWadau, kwanini Oil Pressure Light inakuwa on kwa dakika 2 hadi 3 wakati wa kuwasha gari hasa gari inapokuwa imezimwa kwa zaidi ya masaa matatu na kuendelea?
Wadau taa ya ABS inawaka muda wote nimeenda kwa fundi amekagua kila kitu anasema gari haina tatizo lolote