Zipi bora kati ya dawa za kichina na dawa za Kiarabu?

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
726
Reaction score
564
Aliyekwisha tumia dawa za kichina au hizo za kiarabu kutibu matatizo ya tumbo ,maumivu ya miguu nakadhalika ninaomba anishauri!

Zipi zinafanya kazi vizuri na kwa uhakika,za kichina au za kiarabu?

Kwa nilivyofikia, niko tayari kwa ushauri kuhusu dawa hizo!
 
Aliyekwisha tumia dawa za kichina au hizo za kiarabu kutibu matatizo ya tumbo ,maumivu ya miguu nakadhalika ninaomba anishauri!Zipi zinafanya kazi vizuri na kwa uhakika,za kichina au za kiarabu?Kwa nilivyofikia,niko tayari kwa ushauri kuhusu dawa hizo!
Achana na hayo mawazo ya kijinga nenda hospital wakupime wakupe matibabu. Hata hao wanaouza hayo madawa yanayoitwa ya kiarabu wakiumwa wanaenda hospitali.

Ama uliwahi kusikia china ama uarabuni hakuna hospitali kwa sababu ya hayo madawa yao?

Nenda hospital upimwe upewe dawa upone mkuu.
 
Hapa nilipo nimeshafika hadi Muhimbili lakini hakuna nafuu yoyote!Nimeanzishiwa clinic ya medicine nako wapi!Kila mwezi ninapewa dawa za kumeza,tatizo dawa nimemeza kwa miaka mingi bila mafanikio!!
 
Ungeanza na kusema unasumbuliwa na ugonjwa gani kwanza sio kuwa generic.

Watu waanze kukudadisi symptoms zingine; ndio uanze kushauriwa dawa.

Dawa za kichina na kiarabu ndio kitu gani.

Walau wachina wana dawa za asili (lakini) hata wao wauzaji wake lazima uwape maelezo unasumbuliwa na nini ili wakupe dawa zao.

But in medical science uwezi uliza swali kiholela hivyo ukapata majibu ya maana.
 
Uko sahihi!Mimi nimesumbuliwa sana na tumbo sasa ni miongo mitatu!Ugonjwa kwa mujibu wa kipimo cha OGD cha Muhimbili ni michubuko Tumboni ila siyo vidonda vya vya tumbo!Dawa nimetumia nyingi sana bila mafanikio.Sasa hata kiuno na miguu inauma sana!Pia hata humu wanajf ni watu wazuri sana wamejaribu kwa kiasi chao kunishauri
 
Back
Top Bottom